Ijue Botswana japo kidogo tu

Nasikia wale dada zetu wa Kanda ya Ziwa wanaoishi kwenye vibanda kule Dar eti wamejazana sana huko wakinadi ile kitu yao
 
Safi sana. Maana hapa JF kila siku tunaambiwa nchi za Africa zote choka mbaya na zina viongozi wa ovyo. Waafrika twende Botswana tukaone uwezo wa mwafrika wenzetu kujiletea maisha bora kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…