wakuu vipi kwema?????ebana naombeni msaadsa hapa, hivi ni computer zote zinakua na bluetooth?? Mimi natumia sony. sasa nashindwa kujua kama hii inayo huduma ya bluetooth au la, msaada wenu jamani na kama ipo nitaipata sehem gani??manake hata ile icon yake sijaiona imechorwa mahali..