Iitwe CHADEMA Education Television

Sijui source ya information. Kama ni kweli basi natangaza dakika hii, nanyi muwe mashahidi, kuwa nitajitolea bure katika hatua za awali za kuandaa matangazo na vipindi vya televisheni.
 
No actually its about 100 times...., kama cd tu haiwezi kupatikana..., je kupata kibali na kuanzisha tv......? Bro we need to learn to walk before we can run.....

ata mi naisaka lakini naona inaanza kuwa scarce commodity. Cjui kwa nini!
 
Kwa sababu TBC imeuzwa kwa wachina ni wazi Cdm ikija kuchukua Taifa itakosa chombo huru cha mawasiliano,mi napendekeza iitwe "Tanzania Tv" na "Tanzania Radio" . Pia majina hayo ni mafupi hayaitaji kufupisha ,pia yataitambulisha Tanzania duniani kote.
 
ata mi naisaka lakini naona inaanza kuwa scarce commodity. Cjui kwa nini!

Cha kushangaza sijui ni kwanini iwe hivi...., am sure mimi wakinipa copies chache nikazisambaza underground watu wa dvd burners..., siku mbili zitakuwa zimezagaa mtaani kama njugu
 


Good suggestion, I concur.
 
iitwe People’s Voice radio station...tv bado sijapata jina tamu...
 
Iitwe Jamii Television/Radio (JTV),,,
Halafu, inaanza lini kurusha matangazo?
Wakianza wasisahau kupatikana pia kwenye internet ili iwafikie watu wengi....
 


the guy above looks like rev masanilo!!!!!
 
I also agree with you. It should be PEOPLE's POWER RADIO/TV. Tupo tayari kuchangia na ikiwezekana kununua hisa.
 
Cha kushangaza sijui ni kwanini iwe hivi...., am sure mimi wakinipa copies chache nikazisambaza underground watu wa dvd burners..., siku mbili zitakuwa zimezagaa mtaani kama njugu

Nilikuwa Mabibo J1 kwenye kongamano la BAVICHA, Dr Alisema cd inaandaliwa na itatoka soön, sasa mnaoitafuta sijui mnaitafuta wapi! Kuhusu TV na Radio, Dr kupitia hapa jukwaani siku ya j2 alisema kuwa wazo la kuanzisha vyombo hivyo amelipokea, lakn pia lazima lipite ktk vyombo vya maamuzi vya chama na kwa bahati nzuri vikao vitakaa hv karibuni, atawasilisha ombi hili na taarifa zitajiri soon! So stay tuned, kuhusu lile jina kuna mtu humu amependekeza peoples power radio/tv Ppr, pptv what a wonderful name!
 
Mhh, kama ndo hayo majibu, na wafuasi ndo hawa, basi nitawa benefit of doubt polisi wa arusha.
 
Mhh, kama ndo hayo majibu, na wafuasi ndo hawa, basi nitawa benefit of doubt polisi wa arusha.

Tambwe Hiza unafurahisa sana! If you don't want a sarcastic answer, then don't ask a stupid question sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…