Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
....shoudl have a name with such words as '''PEOPLES POWER'' or something like that!
....shoudl have a name with such words as '''peoples power'' or something like that!
Kama ni kweli ni good news, ila source yako ni ipi kuna thread Slaa alisema atawasilisha wazo kwenye vikao rasmi tayari vimefanyika na kulipitisha?Inatia moyo sana kuona kuwa CHADEMA wamelipokea rasmi wazo la kuwa na redio na televisheni yao. Iwapo vyombo hivi vya habari vitaanzishwa, binafsi napendekeza viitwe CHADEMA Education Television/Radio. Wengi wetu tutakuwa tayari kuzichangia pamoja na kununua Hisa zake. Tunawatakia CHADEMA mafanikio makubwa katika mpango huu.
Good idea!!!....shoudl have a name with such words as '''PEOPLES POWER'' or something like that!
----chadema peoples power radio na chadema peoples power television----
Toka uanze kuitaja CD ya Arusha nafikiri hii ni mara yako ya 42 counting.....pole sana.hivi ile CD ya Arusha iko wapi?, sidhani kama na hiyo inasubiri mpaka TV ianzishwe....
Kama ni kweli ni good news, ila source yako ni ipi kuna thread Slaa alisema atawasilisha wazo kwenye vikao rasmi tayari vimefanyika na kulipitisha?
the radio/television name should not directly consist of the name of the party.....this will avoid the party to be inclined with the vision of the media institution of the party...as its objective will be for profit and awareness programs for all tanzanians irrespective of the party
i think peoples power radio or radio PP are quite clear and will convey the party ideology worldwide
Toka uanze kuitaja CD ya Arusha nafikiri hii ni mara yako ya 42 counting.....pole sana.
No actually its about 100 times...., kama cd tu haiwezi kupatikana..., je kupata kibali na kuanzisha tv......? Bro we need to learn to walk before we can run.....
Ije faster itasaidia sana na ikiwezekana ianze kabla ya uchaguzi wa 2015
Inatia moyo sana kuona kuwa CHADEMA wamelipokea rasmi wazo la kuwa na redio na televisheni yao. Iwapo vyombo hivi vya habari vitaanzishwa, binafsi napendekeza viitwe CHADEMA Education Television/Radio. Wengi wetu tutakuwa tayari kuzichangia pamoja na kununua Hisa zake. Tunawatakia CHADEMA mafanikio makubwa katika mpango huu.