Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,893
Salaam wakuu,
Kama mada inavyojieleza hapo najaribu kutengeneza listi ya instrumentals za Mamtoni lakini naona kama hazina mikito kiivyo kama ipo ngoma unayojua ina biti kali hebu fanya kuitupia humu then mimi nitaidownload mwenyewe.