FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
13,547
28,536
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #CRDBBankFederationCup
⚽️ Ihefu SCπŸ†šYoung Africans SC
πŸ“† 19.05.2024
🏟 Sheikh Amri Abeid
πŸ•– 09:30 Alasiri
20240519_123333.jpg


Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC


20240519_145143.jpg

Mpira umeanza
Dakika ya 1

Dakika ya 5
Yanga SC wanafanya shambulizi

Dakika ya 10
Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0

Dakika ya 15
0-0

Dakika ya 20
Yanga wanakosa nafasi ya wazii

Dakika ya 24
Marouf Tchake wa Ihefu anakosa nafasi ya wazii

Dakika ya 27
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 30
Ihefu wanapata kona

Dakika ya 32
Mchezaji wa Ihefu anamfanyia madhambi mzize Aziz k amepiga Free kick amekosa

Dakika ya 37
Musonda anakosa nafasi ya wazii

Dakika ya 39
Ihefu wanapata free kick aucho kamchezea vibaya rupia

Dakika ya 42
Kibabage kaumia na anafanyiwa mabadiliko anaingia lomalisa

Dakika ya 45+3

Dakika ya 46 Joseph mahundi anakosa nafasi ya wazii

Dakika ya 47 rupiaa anakosa nafasi ya wazi

Half time
0-0
20240519_162713.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 46
0-0

Dakika ya 50
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 52
Mzizeee anakosa nafasi ya wazii

Dakika ya 58
Mpira umesimama aucho kaumia

Dakika ya 65
Yanga SC wanapata kona ya 3

Dakika ya 69
0-0

Dakika ya 75
0-0

Dakika ya 88
Ihefu wanapata kona

Dakika ya 90+4


20240519_173153.jpg

EXTRA-TIME KICK-OFF | Come on, Wananchi.πŸ’ͺπŸ”°

Dakika ya 94 guedee anakosa nafasi ya wazi Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 96
Aziz k anamfanyia madhambi mchezaji wa ihefu

Dakika ya 98
0-0

Dakika ya 100
GOOOAAAAAAAL Master KiiiiiiiiiiiiπŸ’ͺ🏽


20240519_175011.jpg

Kipindi cha pili cha extra time kimeanza

Dakika ya 107
Ismail mgunda wa Ihefu anakosa nafasi ya wazii

Dakika ya 108
Faridi Musa anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 111
Yanga SC wanafanya mabadiliko anatoka faridi anaingia mwamnyeto

Dakika ya 113
Yao anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 117
Ihefu wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 120+1

AET: Ihefu 0-1 Yanga
20240519_180720.jpg
 
Pia tusisahau leo kuna mechi kali ya hatua ya nusu fainali, Mashujaa cup kati ya Simba fc vs Kiluvya United.

Simba FC wakiwa wanalisaka kombe lao tatu msimu huu baada lile la ngao ya jamii na kombe la muungano, kama Simba itafanikiwa kuingia fainali leo hii basi itakuwa ni fainali yao ya nne ndani ya msimu mmoja, hakika ni mafanikio makubwa ndani ya msimu huu. Simba imeshacheza fainali tatu msimu huu ambayo nj ngao ya jamii, Mapinduzi cup na muungano cup.
 
Back
Top Bottom