Igunga yazizima kumsikiliza Magufuli

Igunga yazizima kumsikiliza Magufuli

Hatudanganyikii rais ni Dr.Magufuli.Lowassa mwizi tu kafukuzwa ccm kaingia chadema mnatudanganya kabadilika sisi siyo watoto. Magufuli tunaujuwa utendaji wake. Hapa kazi tu. Magufuli for president oyooooooooooooooo mtaisoma nambaaaaaa.mpaka kielewekeee

Umelipwa tayari
 
Jionee mwenyewe kabarua hako. Hii ni dalili ya kutojiamini, na kumong'onyoka kwa ngome muhimu ya CCM hapa Tanzania, ambayo ni Tabora.

ImageUploadedByJamiiForums1442176238.160430.jpg hii ya ukawa vipi kujazia watu petrol bora kukusanya
 
Sisiemu mbwa koko. Hawawezi kuisaidia nchi hii kwa miaka 5 km wameshindwa miaka 60
 

CCM inawapa mashabiki na wanachama wao usafiri, hiyo ni hatua moja kwenda mbele.....naona mlitaka watembee kwa miguu. Mahaba yakizidi naona watu wanashindwa kufikiria. Kama na nyie mmeamua kwenda kwa miguu nendeni maana kutoka Kimara hadi posta kwa miguu nako ni kusafiri au?
 
Wewe ulitaka watu waende kwenye mkutano kwa miguu wakati nchi imepiga hatua kimaendeleo kwenye nyanja ya usafiri.

Ningeelewa kama wangekuwa wanalazimishwa kwenda kwenye mkutano.

Hizi ni hoja mfu na zinaonyesha hufahamu hata maana ya nyenzo za kurahisisha kazi.
 
Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kunawakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe tingatinga ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
Acha wabebwe na malori huo ndio ujanja maana tunawapa fursa wasioweza fikiwa kuja kujionea na kusikiliza Sera sioni ubaya hapo.
 
Back
Top Bottom