Igunga yazizima kumsikiliza Magufuli

Igunga yazizima kumsikiliza Magufuli

sipati picha pale mchika mic mkono wake huwa unapata maumivu kiasi gani?. ntafanya research on this so as to get the real answer.
 
huo umati ndio wa mwenyekiti wa kitongoji wa chadema,vp?wa ccm anaweza kuupata huo?

Hebu nikumbushe.
Katika uchaguzi wa serikali za mitaa Chadema walishinda kwa asilimia ngapi.?
Kajipange upya na umati wako
 
Jionee mwenyewe kabarua hako. Hii ni dalili ya kutojiamini, na kumong'onyoka kwa ngome muhimu ya CCM hapa Tanzania, ambayo ni Tabora.
 
Attachments

  • 1442172518101.jpg
    1442172518101.jpg
    16.8 KB · Views: 1,329
Hatudanganyikii rais ni Dr.Magufuli.Lowassa mwizi tu kafukuzwa ccm kaingia chadema mnatudanganya kabadilika sisi siyo watoto. Magufuli tunaujuwa utendaji wake. Hapa kazi tu. Magufuli for president oyooooooooooooooo mtaisoma nambaaaaaa.mpaka kielewekeee
 
Sio vibaya kama watachukuliwa ili waweze kwenda kuwapa somo wengine ambao hawakuhudhuria mi naona ni jambo zuri kwa manufaa ya wengine
 
Bila kufanya hivyo hata chama cha Mrema kitawazidi idadi ya watu mkutanoni, wanajisitiri na aibu. Ni sawa na kujiibia hela mfuko wa kushoto na kuiweka mfuko wa kulia
 
Haya mkuu kakojoe ukalale Virrrroba ni hatari kwa afya
 
Hatudanganyikii rais ni Dr.Magufuli.Lowassa mwizi tu kafukuzwa ccm kaingia chadema mnatudanganya kabadilika sisi siyo watoto. Magufuli tunaujuwa utendaji wake. Hapa kazi tu. Magufuli for president oyooooooooooooooo mtaisoma nambaaaaaa.mpaka kielewekeee

Kwa maelezo yako tu ya hapa tayari imejionyesha kwamba wewe ni mtoto. Vinginevyo unaweza kuwa mkubwa lakini mwenye akili za mtoto kichwani.
 
Kwa maelezo yako tu ya hapa tayari imejionyesha kwamba wewe ni mtoto. Vinginevyo unaweza kuwa mkubwa lakini mwenye akili za mtoto kichwani.
Ni wewe wasema.Magufuli for president mtaisoma nambaa
 
Back
Top Bottom