Hahahahahah umati kama ni mgombea udiwani
umati wa watu unategemea na wingi wa watu eneo husika. Hapa kazi tu
umati mdooogo!hv anagombea ubunge?
Mkutano wa Lowassa Igunga wiki iliyopita
Wananchi wakikimbilia kuangalia hlkopte
Aliposhuka, Lowassa yule jukwaani
Hesabu hapo, Lowassa kawaambia wabunge mikono hesabu wanaopunga, wengine wanamshangaa tu, huyu mzima kweli?
Ikatafutwa angle nzuri ya picha kuepuka uwazi upande wa kulia