Igunga wagombea kadi na bendera za CUF

Wasiwasi wa nini CCM ndio mpango...Utasitaajabu jinsi watanzania walivyo na mapenzi na CCM..Unajua pale Ni TABORA sio moshi.
 
Kama huna ishu za kuandika usipende kupotosha umma. Mbona mi nipo hapa Igunga na sijaona ujio wa CUF wala fununu za kuwapo hapo.... Ujue JF tupo hata huko..koma kwa uongo wako....mdanganye mkeo, na wanao
<br />
<br />
mh. acha uongo huko wapo wakina julius samamba toka kwimba, maole, kirungi, mh. kapasha
 
Back
Top Bottom