Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
NASHAURI, kama hatuwezi kuwa na wana JF, kwenye vijiji vyote 98 IGUNGA, basi ikiwezekana kutoka kwenye kata zote 26 za IGUNGA tupate wawakilishi ili kupata update za matokeo, tukajijumlishia wenyewe na mapeeeeema kabla ya saa 12 tukajipatia matokeo kwenye kata hizo ambazo ni Bukoko | Chabutwa | Choma | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba (Igunga) | Itunduru | Kining'inila | Kinungu | Mbutu | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashiku | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo (Igunga) | Nyandekwa (Igunga) | Simbo | Sungwizi | Ziba
Kusubiri matokeo mpaka yatolewe na TUME, kwa wana JF, ambao Huzipata Inshu mapeeema kuliko chombo chochote ni aibu.. Lazima uwe na Moyo wa ziada na mgumu kwelikweli Kungojea HURUMA ya TUME wakutangazie mapema, kama una hasira za chapchap unaweza KUWA-MAHONA (chapa makonde kavukavu)hawa tume.. wanakera kwelikweli, kazi ya ukibaraka wanayoifanya ni hatari sana. Tume ambayo sio HURU ni kichocheo cha uvunjifu wa amani, kama Huamini kamuulize H-Mdee Kawe au Kumbuka Mbu walipowamengenyua wana-Ubungo kule LOYOLA wakisubiri kutolewa kwa matokeo ya JIMBO LAO, siku tatu.. nne hivi, watu hawalali mpaka kieleweke.. aisee CCM hata mshipi wa aibu umeshakatika LOOOngi.