Elections 2010 Igunga: Tutapataje matokea mapema kama wana jf?

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
NASHAURI, kama hatuwezi kuwa na wana JF, kwenye vijiji vyote 98 IGUNGA, basi ikiwezekana kutoka kwenye kata zote 26 za IGUNGA tupate wawakilishi ili kupata update za matokeo, tukajijumlishia wenyewe na mapeeeeema kabla ya saa 12 tukajipatia matokeo kwenye kata hizo ambazo ni Bukoko | Chabutwa | Choma | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba (Igunga) | Itunduru | Kining'inila | Kinungu | Mbutu | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashiku | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo (Igunga) | Nyandekwa (Igunga) | Simbo | Sungwizi | Ziba

Kusubiri matokeo mpaka yatolewe na TUME, kwa wana JF, ambao Huzipata Inshu mapeeema kuliko chombo chochote ni aibu.. Lazima uwe na Moyo wa ziada na mgumu kwelikweli Kungojea HURUMA ya TUME wakutangazie mapema, kama una hasira za chapchap unaweza KUWA-MAHONA (chapa makonde kavukavu)hawa tume.. wanakera kwelikweli, kazi ya ukibaraka wanayoifanya ni hatari sana. Tume ambayo sio HURU ni kichocheo cha uvunjifu wa amani, kama Huamini kamuulize H-Mdee Kawe au Kumbuka Mbu walipowamengenyua wana-Ubungo kule LOYOLA wakisubiri kutolewa kwa matokeo ya JIMBO LAO, siku tatu.. nne hivi, watu hawalali mpaka kieleweke.. aisee CCM hata mshipi wa aibu umeshakatika LOOOngi.
 
nafanya mpango wa kumtumia nauli ya bodaboda Wa Jikoni, kwa njia ya M-Pesa.
 
Tunawatakia kila la kheri wanaIgunga na wanafm wetu na bila kuwasahau makamanda wetu wa CDM.

Sasa cha msingi CDM msilale, mhakikishe kazi ya kuweka masanduku yanasimamiwa na wazalendo kweli kweli
 
Kiukweli wana JF mlioko Igunga tuonei huruma wengine tuko huku lakini hatuna amani,tunatamani kila kitu tungelikuwa tunakiona live,tunatamani updates kila wakati,tunatamani matokeo tuanze kuyapata kila yapokuwa tayari kwa kila kituo,tunaomba mtusaidie hilo,otherwise wengine tutashinda bila amni,tupate tu japo matokeo yoyote.na ingefaa kutu-update muda wowote mtakapopata news mpya maana leo najua magamba yatakuwa yanahangaika kutafuta mbinu ya kuharibu jambo,walioko Nzega pia mtupe habari maana huenda mipango mingine itakuwa inafanyika Nzega hivyo kwa wana JF walioko Nzega tupeni habari.Hivi nina habari ya uhakika Mbunge wa Temeke kandogo kuja bara,japo taarifa nilizonazo amekwenda Mwanza ki chama lakini isije ikawa limeondoka jopo fulani kuja Igunga kwa kutua mwanza na ndege kisha gari to Igunga na ikawa wanakuja na mbinu haramu huko.
wana JF tupeane habari mpya fasta.tunawatakia kazi njema mlioko Igunga
 
NASHAURI, kama hatuwezi kuwa na wana JF, kwenye vijiji vyote 98 IGUNGA, basi ikiwezekana kutoka kwenye kata zote 26 za IGUNGA tupate wawakilishi ili kupata update za matokeo, tukajijumlishia wenyewe na mapeeeeema kabla ya saa 12 tukajipatia matokeo kwenye kata hizo ambazo ni Bukoko | Chabutwa | Choma | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba (Igunga) | Itunduru | Kining'inila | Kinungu | Mbutu | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashiku | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo (Igunga) | Nyandekwa (Igunga) | Simbo | Sungwizi | Ziba

Kusubiri matokeo mpaka yatolewe na TUME, kwa wana JF, ambao Huzipata Inshu mapeeema kuliko chombo chochote ni aibu.. Lazima uwe na Moyo wa ziada na mgumu kwelikweli Kungojea HURUMA ya TUME wakutangazie mapema, kama una hasira za chapchap unaweza KUWA-MAHONA (chapa makonde kavukavu)hawa tume.. wanakera kwelikweli, kazi ya ukibaraka wanayoifanya ni hatari sana. Tume ambayo sio HURU ni kichocheo cha uvunjifu wa amani, kama Huamini kamuulize H-Mdee Kawe au Kumbuka Mbu walipowamengenyua wana-Ubungo kule LOYOLA wakisubiri kutolewa kwa matokeo ya JIMBO LAO, siku tatu.. nne hivi, watu hawalali mpaka kieleweke.. aisee CCM hata mshipi wa aibu umeshakatika LOOOngi.

Rang za post za post zinaashiria ushindi.
 
Weka namba ya simu ya Wa Jikoni ili tumuwekee hela ya mafuta ya bodaboda kwani ametufaa sana hizi siku mbili tatu kwa habari zake za uhakika. Nashauri baada ya uchaguzi Wa Jikoni akajiendeleze pale DSJ awe mwandishi full kwani ana akili mara tano ya Efraim Kibonde Kilaza
 
Mkuu Salamaa??????

Wana JF tunao wa kutosha kabisa huko Igunga wakiwa ni pamoja na Wanachama wa CDM, CCM na CUF. Cha msingi tu hapa ni kwa kila mmoja wao kutujulisha hapa ya kwamba tutarajie taarifa za maeneo yapi kutoka kwake. Kwa kuwa hii kazi ni kwa hiari tu, ni vema watu wakatueleza tu kwamba wako katika kata zipi na vituo gani.

Mwita Maranya na Ephata tuelezeni basi japo kidogo kuhusu uwakilishi wa JF katika hivyo vijiji vyote 98,na kata zote 26 za IGUNGA tupate wawakilishi ili kupata update za matokeo, tukajijumlishia wenyewe na mapeeeeema kabla ya saa 12 tukajipatia matokeo kwenye kata hizo ambazo ni:

1.
Bukoko Jumla ya Wapiga Kura:
2.
Chabutwa
Jumla ya Wapiga Kura:
3.
Choma
4.
Igoweko
5. Igunga

6. Igurubi

7.
Isakamaliwa
8.
Itumba (Igunga)
9.
Itunduru
10.
Kining'inila

11.
Kinungu
12. Mbutu
13.
Mwamashiga
14.
Mwamashimba
15.
Mwashiku

16.
Mwisi
17.
Nanga
18.
Ndembezi
19.
Ngulu
20.
Nguvumoja

21.
Nkinga
22.
Ntobo (Igunga)
23.
Nyandekwa (Igunga)
24.
Simbo
25.
Sungwizi

26. Ziba
 
Naomba kuaribu hari ya hewa,
WanaJF CDM toka Korogwe tutasherekea ushindi wa cdm igunga wapi tukutane na kusherekea
 
Naona kuna haja ya kuwa pre-empty hawa Tume kama walivyofanya watu wa Zambia
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom