Elections 2010 Igunga: Mbunge kunywa sumu CCM ikishindwa

Kutokana na kauli ya Lusinde kuwa atakunywa sumu iwapo CCM itashindwa, ni dhahiri kwamba CCM itatangazwa kidedea, kwa mtu makini hawezi kujitangazia kunywa sumu kwani ana uhakika kuwa watatangazwa washindi.

Ila furaha yangu ni kuwa kama CHADEMA wakitangazwa kidedea huko Igunga, basi tuanze kujiandaa na uchaguzi mdogo huko mtera. Hii ni kutokana na kauli yake kuwa atakunywa sumu.
 
Kwa hiyo bado siku chache afe
Ah wapi, huyu jamaa ni mjanja: kwa vile anajua kwao dodoma kuna ngombe wengi wanatoa maziwa, atakunywa kiasi kidogo tu cha sumu kama alivyoahidi kisha atayafakamia maziwa ili asife kwa vile ahadi yake ni kunywa sumu tu na si kujiua; teh, teh, teh, ......
 
Sasa ndugu zangu CCM huyu mbunge anaongeza kura za CCM au anapunguza?jiulize anawambia hivyo watu wa uelewa gani...!kwa akili zangu ndogo tena sie watu wa vijijini tunajiju, mtu akisema kitu fulani kikitokea atafanya hv, kwa desturi zetu sie wenye uelewa mdogo ndio tunafanya hivyo ili tuone atakunywa sumu kweli au..???CCM inahitaji watu makini kwa mwendo huu haaa sijuii

Source:Tanzania daima.

View attachment 37554
wamejiandaa kuchakachua ndo maana ya tambo hizo.
na alirushiwa mawe kwa ujinga alioufanya
 
Ah wapi, huyu jamaa ni mjanja: kwa vile anajua kwao dodoma kuna ngombe wengi wanatoa maziwa, atakunywa kiasi kidogo tu cha sumu kama alivyoahidi kisha atayafakamia maziwa ili asife kwa vile ahadi yake ni kunywa sumu tu na si kujiua; teh, teh, teh, ......

ila kweli
 
niwekeni sawa!kutaka kujiua si kosa kisheria!kwanini polisi wamemuacha mtu aliyetangaza kunywa sumu hadharani?kwanini wanamuacha kiongozi anayewahamasisha wananchi kunywa sumu!tusishangae igunga wakaanza kunywa sumu wanaposhindwa kufikia malengo na matamanio yao,ikitokea hivyo LUSINDE awajibike kwa kila sumu itakayonyweka
 
Kutokana na kauli ya Lusinde kuwa atakunywa sumu iwapo CCM itashindwa, ni dhahiri kwamba CCM itatangazwa kidedea, kwa mtu makini hawezi kujitangazia kunywa sumu kwani ana uhakika kuwa watatangazwa washindi.

Ila furaha yangu ni kuwa kama CHADEMA wakitangazwa kidedea huko Igunga, basi tuanze kujiandaa na uchaguzi mdogo huko mtera. Hii ni kutokana na kauli yake kuwa atakunywa sumu.

MBUFYA! Hongera kwa taarifa. Ila cha msingi ni kuelewa kuwa hawa wa-MAGAMBA ni waongo siku zote, unadhani atakunywa kweli? na kama akinywa sasa ndo mwisho wao kwani CDM itakuwa imeongeza wabunge wawili (wanajeshi) yaani sipati picha hata mimi kwani hata mwaka mmoja haujakamilika tokea uchaguzi wa 2010.

Hivi sasa tu wakiogopa kiosi cha wapambanaji waliotinga Igunga ili kuhakikisha jimbo tunalichukua watu wa CDM, sasa wakiongezeka hao wabunge wawili uchaguzi wa 2015 itakuwa njema sana.

Ni hayo tu!!!!!!!!!!!!
 
kachina tu huyo Lusinde, wameshindwa kuwavua magamba mafisadi sembuse kunywa sumu huyo kinyamukera. ananitia hasiraaaaaaaaaaa.......
 
Huyu kijana hajawahi kutumia kichwa kufikiri hata siku moja. Sijua anafikiria nini kwa kuamua kukipumzisha kichwa na kutumia hiyo Mi-Masaburi yake kufikiri. Ni linunda ambalo halijawahi kuwa na akili hata siku moja.

Sasa linataka kuwaongezea Chadema na jimbo la Mtera wakati hili la Igunga linatutia aibu kila siku kashfa mpya, mara Nchimba kabaka mke wa mtu huko, mara pesa tulizowapa zimeishia kupigana mapanga wenyewe kwa wenyewe, mara yule kijana tuliyempa zile 150,000 awagawie wenzie ili wang'oe mabango ya CDM njaa zake zimemfanya awazike wenzie na kupelekea kumwagiana tindikali.

Hatutaki tena haya yatokee na huku kwingine. Tunajuta kumuhudhi Rostam anatutesa sana sasa. Ni ujinga wa huyu bwana mdogo Nape kuleta mambo yake ya visasi ndiyo yametupelekea kufikia hapa leo.
 
Kutokana na kauli ya Lusinde kuwa atakunywa sumu iwapo CCM itashindwa, ni dhahiri kwamba CCM itatangazwa kidedea, kwa mtu makini hawezi kujitangazia kunywa sumu kwani ana uhakika kuwa watatangazwa washindi.

Ila furaha yangu ni kuwa kama CHADEMA wakitangazwa kidedea huko Igunga, basi tuanze kujiandaa na uchaguzi mdogo huko mtera. Hii ni kutokana na kauli yake kuwa atakunywa sumu.

Hapo kwenye red - Mkuu una akili!!! Sijui nikuite nabii
 
Pengine atakunywa sumu feki kutoka China sababu hajasema atajiua kwa sumu.
 
hahahah !! hawa wabunge kwa kubwabwaja, i have a feeling, Lusinde was expecting too much from his nomination and eventual win , alitegemea kwa vile amemwangusha mwanasiasa maarufu anaweza kurub umaarufu wake kwake yeye ambaye tumemjua kwa kigezo hicho, na wengi wakawa wanaexpect makubwa from kibajaj yeye kumbe hana lolote ni mpayukaji maarufu tu.....

Nadhani its now downing on him that he will never be able to walk in mzee malecela's shoes, so he better start his own identity ndio unaropoka kunywa sumu, kwanza si kosa hilo kutaka kujitoa maisha ? hebu akamatwe kwa kudhihaki jamhuri, mbona mwenzake aliyeingia kwa mikiki mingi na zengwe lukuki. 'lolensia ' anachapa kazi vizuri tu, kibajaj kirudi huko mtera aendelee kuhimiza wafugaji wasivamie hilo bonde huko
 
Mi nipo maabara natafuta fomula ya sumu itakayotumika kujiulia huyu mbumbumbu wa magamba, nataka hata akinusa tu asibakie.
 
Tuseme " Mungu aiweke roho yake mahali pabaya Jehanamu....Amen" na sio Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi Amen"...
 
Anywe na afe tu kwani ana faida gani mpumbavu kama huyo, siku zote matamshi yake yamekaa kijuha juha tu.
 
Naombea chadema ishinde igunga ajiu tuchukue na mtera pia, mbona mambo yatakuwa safi jamani !!!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom