Bunge lianze kulipa mishahara kutokana na elimu ya Mbunge, pia utendaji wake wa kazi ya uwakilishi ukiwa mzuri apate bonus. Maana naona magumashi yanazidi sana kwenye hii sekta nyeti ya kutunga sheria za nchi. ha ha ha ha
Hata housegirl wangu amemshinda elimu!!Alikusanya kikundi cha wahuni wa CCM na kwenda kuvamia viongozi wa Chadema hotelini kwao na kutaka kuchoma moto magari ya Chadema kisha kupiga hewani risasi na baadaye kuzingizia kuwa Chadema walitaka kumteka.
Ukiwashwa unajikuna, sio unatafuta wakunaji. kwani umewashwa upele?? unao eeh!!Tupe elimu ya
Lema
Sugu
Mbowe
Hawa wote nahisi ni darasa la saba..wakijitahidi sana ni form four ya zero
Hapa nimepitwa kidogo, kwani huyu mbunge alifanya kosa gani mpaka akaenda polisi kuomba msamaha?
Kumbe kimekuuma?Ukiwashwa unajikuna, sio unatafuta wakunaji. kwani umewashwa upele?? unao eeh!!
So Siku hizi ukifanya kosa na ukanda kuomba Radhi Polisi unasamehewa???
This is Stupid...............
Sina data za elimu za hao jamaa,na wewe unaweza kutujuza wana jf elimu ya Steven Ngonyani aka Prof Maji Marefu na Capt John Komba etcTupe elimu ya
Lema
Sugu
Mbowe
Hawa wote nahisi ni darasa la saba..wakijitahidi sana ni form four ya zero
Labda alikariri darasa maana IQ yake nahisi ni ndogo,hiyo ni miaka 7 bro anasoma o'level hapa alitakiwa awe amemaliza A'level. Akili rechargeable hizo.Hiyo o level ya miaka miaka 6 imekaaje?au cv imechakachuliwa!
no comment.
nometoka kutumikia ban ya miezi 6.
na halima alishawahi mpotezea EATV kwenye kilichokua kinaenda hewani LIVE