halafu huyu shori anaiga sana swaga za halima mdee....what a looser she is!
So Siku hizi ukifanya kosa na ukanda kuomba Radhi Polisi unasamehewa???
This is Stupid...............
Sasa kama huyu muomba miongozo bungeni ame confess kwamba alifanya uhalifu kwa kuwatukana Polisi, kwanini hiyo confession yake isutumike kama ushahidi wa kumfikisha mahakamani? Ni lini polisi wamepewa uwezo wa kisheria wa kusamehe wahalifu? Hivi hawa Polisi wanasoma sheria sawa na ambazo watanzania wengine tunasoma? Polisi nyinyi sio mahakama mfikisheni huyo mhalifu Bulaya mahakamni sheria ichukue mkondo wake.Wakuu, Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema. Hayo yalisemwa jana na mkuu wa kitengo cha Tathamini na ufuataliaji wa jeshi hilo Ndugu Isaya Mngulu.Gazeti la Nipashe, linapasha zaidi kuwa, Mngulu hakutaja matusi hayo, lakini alisema, siku moja baada ya tukio hilo mbunge huyo alienda ktk kituo hicho cha polisi na kuwaomba radhi
Wakuu,
Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema. Hayo yalisemwa jana na mkuu wa kitengo cha Tathamini na ufuataliaji wa jeshi hilo Ndugu Isaya Mngulu.
Gazeti la Nipashe, linapasha zaidi kuwa, Mngulu hakutaja matusi hayo, lakini alisema, siku moja baada ya tukio hilo mbunge huyo alienda ktk kituo hicho cha polisi na kuwaomba radhi.
My take,
Huyu Mh Mbunge wa ccm, amejutia makosa yake au ameagizwa kufunika kikombe ili mwanaharamu apite oct 2, 2011?
Sasa kama huyu muomba miongozo bungeni ame confess kwamba alifanya uhalifu kwa kuwatukana Polisi, kwanini hiyo confession yake isutumike kama ushahidi wa kumfikisha mahakamani? Ni lini polisi wamepewa uwezo wa kisheria wa kusamehe wahalifu? Hivi hawa Polisi wanasoma sheria sawa na ambazo watanzania wengine tunasoma? Polisi nyinyi sio mahakama mfikisheni huyo mhalifu Bulaya mahakamni sheria ichukue mkondo wake.
Replace that 'Bu' with 'Ma' what do you get??? Te te teh!!!!!
halafu huyu shori anaiga sana swaga za halima mdee....what a looser she is!
Bunge lianze kulipa mishahara kutokana na elimu ya Mbunge, pia utendaji wake wa kazi ya uwakilishi ukiwa mzuri apate bonus. Maana naona magumashi yanazidi sana kwenye hii sekta nyeti ya kutunga sheria za nchi. ha ha ha ha
Hapa nimepitwa kidogo, kwani huyu mbunge alifanya kosa gani mpaka akaenda polisi kuomba msamaha?
Jamaa wanavyopenda misifa,watakubaka walahNgoja niende kituo cha polisi nikatukane halafu tarehe 4.10 nitawaomba msamaha...