Elections 2010 Igunga: Mbunge Esther Bulaya [CCM] awaomba radhi polisi

Wakuu,
Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema. Hayo yalisemwa jana na mkuu wa kitengo cha Tathamini na ufuataliaji wa jeshi hilo Ndugu Isaya Mngulu.
Gazeti la Nipashe, linapasha zaidi kuwa, Mngulu hakutaja matusi hayo, lakini alisema, siku moja baada ya tukio hilo mbunge huyo alienda ktk kituo hicho cha polisi na kuwaomba radhi.

My take,
Huyu Mh Mbunge wa ccm, amejutia makosa yake au ameagizwa kufunika kikombe ili mwanaharamu apite oct 2, 2011?



Your take or your question.
OTIS.
 
Hapo kwenye O'Level ni kweli amesoma miaka saba?
kapiga short za kufa mtu kisha hakatundikwa madaraka
alikuwa mwandishi wa UHURU, ndio maana wananchi hawapati taarifa za kueleweka

Kwa hali kama hii, CV ya mtungasheria inatuonyesha bayana kwamba tusitarajie sheria za maana wala mawazo mbadala yenye tija katika kuboresha bajeti za serikali zinapowasilishwa bungeni. Lazima tukubaliane kwamba ifike mahala tupitie upya sifa za mbunge hususan kiwango cha elimu ili tuwe na wabunge productive.
 
So Siku hizi ukifanya kosa na ukanda kuomba Radhi Polisi unasamehewa???
This is Stupid...............


double standard ndio game ya jeshi letu la polisi............ huyu kwa kuomba msamaha tu tayari kakiri kosa na adhabu zipo vitabuni

sijui jeshi linataka liheshimike vipi zaidi ya kumfunga huyu dubu
 
Wakuu,
Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema.

Aweda, hakuna cha my take wala nini

Huyu dada alilewa, alikua na nyege na vyote vilichangia kumuongezea adrenaline

kwisha
 
hivi kumbe ukifanya kosa ukaomba msamaha polisi linaisha? Au ni only epa na mafisadi pia wanamagamba na police?
 
Ni kweli kabisa. Mtu ukifanya madudu, unatoa nafasi kwa watu waanze kufuatilia cv yako na hivyo kulinganisha madudu yako na cv yako. Kwa huyu Ester Bulayan amefanya madudu ndo maana cv yake inaanikwa wazi. Kama sio yake(ame-update) aje akane hapa tumusikie
 
Hapa nimepitwa kidogo, kwani huyu mbunge alifanya kosa gani mpaka akaenda polisi kuomba msamaha?
alikua ametoka kilabuni, kalewa na mihemuko yake wakaenda kubutua risasi kwa gesti ya wapinzani sasa walipohojiwa na polisi ule mhemuko ukampa mzuka wa kutukana polisi

aliona anachelewa gemu

:tongue:
 
tuna tatizo kubwa sana na jeshi letu la polisi,haliheshimiki kwa sababu nyingi lakini haswa jinsi wana ccm wanavyovunja sheria mbele yao bila hatua zozote!
 
So Siku hizi ukifanya kosa na ukanda kuomba Radhi Polisi unasamehewa???
This is Stupid...............

Kwa hiyo Polisi wanataka kutuambia kuwa wale Wabunge wa CHADEMA waliohusishwa kesi ya kumdhalilisha DC Fatma Kimario kuwa wamemvua MTANDIO WA KIKRISTO(Not HIJAB YA KIISLAMU)nao wakaombe msamaha na KESI IFUTWE HUKO MAHAKAMANI????

Hili Jeshi letu la Polisi liko very biased kwa Chama Cha Magamba-CCM na inapotokea makosa kwa wana Magamba wana apply ile kitu inaitwa DOUBLE STANDARD. Yaani kosa kwa mwana-CCM siyo kosa ila kwa mwana-CHADEMA ndiyo kosa.
This is nonsense!
 
Aweda, hakuna cha my take wala nini

Huyu dada alilewa, alikua na nyege na vyote vilichangia kumuongezea adrenaline

kwisha
Mkuu,tena itakuwa alikunywa Wine.....,,,,Kwishney Legea Mbayaaa
 
Siku hizi jeshi letu la polisi lime advance sana,,unafanya jinai unawahi kwenda kuomba msamaha maneno inakuwa imekwisha!
 
Haki imeenda likizo!? hii nchi (hasa kwa watawala) inaleta masihala kwenye maswala la msingi! Ushemeji na Uwifi serikalini wakati mimi mshenga mwananchi nataabika, tutaonana wabaya jamani!!!!!
 
Bwana asifiwe na jina lake lihimidiwe, sasa wanashawishi hata maimamu kutumika kwenye kampeni. Mtandio unaitwa hijabu ili mradi CDM waonekane wanachafua uislam, naomba sheikh mkuu aseme juu ya hili mbona anaacha linatafsiriwa vibaya. Magamba yatatuuwa
 
COMEDY/Vihiyo WA CCM ni kama ifuatavyo:
1.Stephen Ngonyani 'Mganga wa jadi"
2.Capt. John Komba "Muimba kwaya za dunia"
3.Esther Bulaya "Kanjanja wa habari"
4.Duh wengine nisaisieni
 
Hivi ukiwaangukia polisi kesi ya jinai inakwisha?Mi sijawahi kuona upuuzi kama huu,uwa nashindwa sana kuwaelewa polisi na UCCM wao,mishahara kiduchu,maisha ya mabatini lakini wao ndio wanajifanya CCM damu.Angekuwa ni mbunge wa CHADEMA hakuna cha kuwaangukia wala nini angepelekwa Mahakamani Tabora kwa escort ya kutisha

Wabunge wa chadema wakilalamikia uonevu unaofanywa na polisi wanaambiwa wanapenda kulalamika!
 
Kha, kumbe mwandishi wa Gazeti la UHURU!

Unategemea nini toka kwa mtu asiejua chochote zaidi ya kuandikia gazeti la uhuru? Mh, hata hizo special sits jamani si wangekuwa wanawapa watu watakaosaidia ktk kupitisha mambo muhimu bungeni objectively? Sasa hapo ana uwezo gani wa kuchambua muswada wa sheria? Si ataishia kugonga meza tu kwa kufuata mkumbo! Ah!
 
Sasa kama huyu muomba miongozo bungeni ame confess kwamba alifanya uhalifu kwa kuwatukana Polisi, kwanini hiyo confession yake isutumike kama ushahidi wa kumfikisha mahakamani? Ni lini polisi wamepewa uwezo wa kisheria wa kusamehe wahalifu? Hivi hawa Polisi wanasoma sheria sawa na ambazo watanzania wengine tunasoma? Polisi nyinyi sio mahakama mfikisheni huyo mhalifu Bulaya mahakamni sheria ichukue mkondo wake.

umeshau wezi wa EPA ? Yaleyale ya bosi wao.
 
Back
Top Bottom