Elections 2010 Igunga: Mbunge Esther Bulaya [CCM] awaomba radhi polisi

Tupe elimu ya
Lema
Sugu
Mbowe
Hawa wote nahisi ni darasa la saba..wakijitahidi sana ni form four ya zero
 
Bunge lianze kulipa mishahara kutokana na elimu ya Mbunge, pia utendaji wake wa kazi ya uwakilishi ukiwa mzuri apate bonus. Maana naona magumashi yanazidi sana kwenye hii sekta nyeti ya kutunga sheria za nchi. ha ha ha ha

Na mshahara wao uongezeke kulingana na muda wa kuwepo bungeni.
 
Alikusanya kikundi cha wahuni wa CCM na kwenda kuvamia viongozi wa Chadema hotelini kwao na kutaka kuchoma moto magari ya Chadema kisha kupiga hewani risasi na baadaye kuzingizia kuwa Chadema walitaka kumteka.
Hata housegirl wangu amemshinda elimu!!
 
Hapa nimepitwa kidogo, kwani huyu mbunge alifanya kosa gani mpaka akaenda polisi kuomba msamaha?

Ni hivi majuzi tu akiwa yeye pamoja na Aeshi(Mbunge) alitwatukana Polisi wakati yeye Ester Bulaya alipovamia mahali viongozi wa Cdm walipofikia,op umepata picha kidogo
 
Ayeshi + Bulaya=Mlipuko.

Ndo maana nliwaambia kama kweli zile risasi zirushwa na CDM, ungeshasikia wahusika wamekamatwa na Polisi na kupelekwa Mahakamani.

Kufahamu ukweli nchini mwetu ni pale mpinzani ameingia 18 za CCM, vinginevyo ni comedy tu.
 
So Siku hizi ukifanya kosa na ukanda kuomba Radhi Polisi unasamehewa???
This is Stupid...............

Mh! Unasahau ya mwaka jana ikipita miaka kumi itakuwaje? Hukumbuki waliorudisha hela ya EPA walifanywaje?
 
Tupe elimu ya
Lema
Sugu
Mbowe
Hawa wote nahisi ni darasa la saba..wakijitahidi sana ni form four ya zero
Sina data za elimu za hao jamaa,na wewe unaweza kutujuza wana jf elimu ya Steven Ngonyani aka Prof Maji Marefu na Capt John Komba etc
 
Hiyo o level ya miaka miaka 6 imekaaje?au cv imechakachuliwa!
 
Kumbe ndio maana alitukana polisi!

View attachment 38114


Mkuu nitatofautiana nawewe kwamutu muungwana anapokosea nilazima kuomba musamaha bilakuangalia wadhifa wa aliyekosewa kuhusuelimu kwa wabunge wetu wengine wameishia 7 na fm4 wanachapakazi
Kikubwa tujadili makosa yake jee amewakosea maasikali pekeyao kamakosa linawahusu nawengine atatumia njiagani kuwaomba msamaha jf kunavigogo ndani ya ccm na sl yake wanamakosa mengi niyupi katuomba musamaha pamoja naelimu yao niwachache wanao jutia makosa yao kamahuyo tusimukebei
 
Hiyo o level ya miaka miaka 6 imekaaje?au cv imechakachuliwa!
Labda alikariri darasa maana IQ yake nahisi ni ndogo,hiyo ni miaka 7 bro anasoma o'level hapa alitakiwa awe amemaliza A'level. Akili rechargeable hizo.
 
Si huyu ndio yule aliyekuwa anakana kuwa hajawatukana ccm C (polisi) au alirudi kuwatukana ndo akaenda kuomba msamaha. Sio kosa lake huyu mbunge ila ni kosa la hao wana ccm C ambao wamekuwa wakiwalea tangu kitambo
 
Chadema wamekaa ki-vurugu vurugu hivi..utafikiri wote ni majambazi ndio maana hawapewi ruhusa hata wakiomba msamaha
 
Hapo kwenye O'Level ni kweli amesoma miaka saba?
kapiga short za kufa mtu kisha hakatundikwa madaraka
alikuwa mwandishi wa UHURU, ndio maana wananchi hawapati taarifa za kueleweka
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom