Igunga: List ya Vigogo wa CCM

Pumba bin Pumba.
Hao uliotajata ni viongozi wa chama au serikali.
Rudi shule ukafundishwa.
Unajua idadi ya viongozi wa CDM walio kule? taja pia kama hujamaliza list nzima ya viongozi wenu.
OTIS.

Mitoto ya Mifisadi utaijua tu kwa majibu yao!!!
 
Nimetoka Kinondoni mchana wa leo, nimekuta ofisi ya CDM makao makuu, imefungwa kibao kimeandikwa, viongozi wakuu wote wako Igunga, ukitaka kuonana na viongozi wa kitaifa hadi kuanzia Octoba 5, 2011

Mara mko Igunga, mara Kinondoni anywayz hiyo ni nje ya mada hii majina wapi mkuu?
 
Pumba bin Pumba.
Hao uliotajata ni viongozi wa chama au serikali.
Rudi shule ukafundishwa.
Unajua idadi ya viongozi wa CDM walio kule? taja pia kama hujamaliza list nzima ya viongozi wenu.

OTIS.

Unaitwa nani vile ? Mh aibu sana kurusha matusi wakati una jina la chooni .
Chama makini kinacho kubalika haswa na chenye dola miaka kadhaa nikawa kina deliver hakika uchaguzi mdogo kama huu Igunga wasingali hangaika namna hii wangalitaja mafanikio tu wakapata kura .Unlike vyama vingine havijulikani so lazima viende huko kwa nguvu zote kupambana na mdudu CCM.Angalia akili zako kaka zisije kuwa hazina akili .
 
Pumba bin Pumba.
Hao uliotajata ni viongozi wa chama au serikali.
Rudi shule ukafundishwa.
Unajua idadi ya viongozi wa CDM walio kule? taja pia kama hujamaliza list nzima ya viongozi wenu.
OTIS.
Jamaa kapatia - Ni viongozi wa Serikali wanatumia hela za umma kufanya kazi ya CCM bila ridhaa yetu sisi wananchi.
 
Ina maana Nape sio kiongozi wa ccm? Mbona wenzake wote wapo igunga yeye anahangaika huko serengeti?
 
Wakuu inaonekana serikali karibu yote imehamia Igunga,I am about to write something kuhusiana na uchaguzi huu naomba mnisaidie kuijaza list hii:

Vigogo

1. Mwigulu Nchemba

2. Samuel Malecela

3. Philip Mangula

4. Mashishanga

5. Mukama

6. Msekwa (sina hakika kama huyu bado yuko huko)

7. Wasira

8. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Athuman Mfutakamba

9.

10.

Wabunge:

1. Aeshi Hilali

2. Hamisi BAgaile Kingwangwala ( Not sure kama nimepatia surname)

3. Ester Bulaya.

4. Lusinde

5. Rage

6.

7.

8.

9.

Igunga kuna uchaguzi na kila chama lazima kitumie mbinu zote kushinda. Kama chama kina uwezo wa kupeleka viongozi wake woote huko ili kufanikisha ushindi ni RUKSA, huo ndio ushindani wa kisiasa
 
Ina maana Nape sio kiongozi wa ccm? Mbona wenzake wote wapo igunga yeye anahangaika huko serengeti?
kaka ndani ya CCM kuna mengi - ukishangaa ya NAPE kutokuwa igunga je akina Saweli Sita, Anna Kilango, January Makamba, Mama Shelukamba na Mwakyembe?
 
... lakini bila mtu yeyote kutumia muda tunaomlipa kama waziri na rasilmali kama vile magari, posho na kibendera chetu kumfanyia mwanasiasa mwengine kwenye kinyang'anyiro kampeni.

Anyway, haijalishi saaana maana CHADEMA tupo Igunga kuwashika kidemokrasia mpaka kieleweke. Wao ni watetezi wa UFISADI Igunga na sisi ni watetezi wa UKOMBOZI wa umma unaodhalilishwa na pishi la ubwabwa kwenye kampeni na kubakiwa wake zao.

Igunga kuna uchaguzi na kila chama lazima kitumie mbinu zote kushinda. Kama chama kina uwezo wa kupeleka viongozi wake woote huko ili kufanikisha ushindi ni RUKSA, huo ndio ushindani wa kisiasa
 
hivi wakuu niulize na kupenda kujua sheria yetu inasemaje?
Ukisha kuwa waziri na kukatokea uchaguzi mdogo kama huu wa igunga kwanini waziri kama waziri uje kwenye siasa za kampeni?? Kwani wasije wabunge wakawaida ambao hawana cheo serikalini? Au wana chama wenye mvuto wa chama chenu kuwapigia kampeni?

Je sheria inaruhusu waziri kama mtendaji wa serikali kwenya kwenye kampeni?

hiyo ndo tz baba
 
Mkuu uliyeanzisha mada kwenye list yako ongeza Mhe. January Makamba, leo atakuwepo Igunga
 
Tetesi zinasema kua baba Riz1 nae atakuwepo maana tayari wajomba wanaenda kwa kasi huko kuandaa mazingira
 
Hivi wakuu niulize na kupenda kujua sheria yetu inasemaje?
Ukisha kuwa waziri na kukatokea uchaguzi mdogo kama huu wa Igunga kwanini waziri kama waziri uje kwenye siasa za kampeni?? kwani wasije wabunge wakawaida ambao hawana cheo serikalini? au Wana chama wenye mvuto wa chama chenu kuwapigia kampeni?

Je sheria inaruhusu waziri kama mtendaji wa serikali kwenya kwenye kampeni?

Mkuu una hoja nzuri sana hata hivyo majibu yake yako kwenye katiba mpya siyo hii ya sasa. Kwenye kampeni zilizopita si zilitumika mpaka rasilimali za Ikulu kwa ajili ya Mkulu? Sasa hawa mawaziri, si ni yale yale?
 
Back
Top Bottom