Wakuu inaonekana serikali karibu yote imehamia Igunga,I am about to write something kuhusiana na uchaguzi huu naomba mnisaidie kuijaza list hii:
Vigogo
1. Mwigulu Nchemba
2. Samuel Malecela
3. Philip Mangula
4. Mashishanga
5. Mukama
6. Msekwa (sina hakika kama huyu bado yuko huko)
7. Wasira
8. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Athuman Mfutakamba
9.rais mstaafu wa awam ya tatu benjamini william mkapa(pamoja na matatizo namkubali sana huyu mzee,kpnd chake maisha yalkuwa na ahueni hasa kwa wananch mackini na TUTAMKUMBUKA DAIMA
10.
Wabunge:
1. Aeshi Hilali
2. Hamisi BAgaile Kingwangwala ( Not sure kama n
Pumba bin Pumba.
Hao uliotajata ni viongozi wa chama au serikali.
Rudi shule ukafundishwa.
Unajua idadi ya viongozi wa CDM walio kule? taja pia kama hujamaliza list nzima ya viongozi wenu.
OTIS.
Hii kitu haina mashiko, hata CDM jeshi lote liko kule. sioni ajabu chama chochote kinachowania jimbo kujaza watu wake kwa kampeni kadiri kinavoona.
Wakuu inaonekana serikali karibu yote imehamia Igunga,I am about to write something kuhusiana na uchaguzi huu naomba mnisaidie kuijaza list hii:
Vigogo
1. Mwigulu Nchemba
2. Samuel Malecela
3. Philip Mangula
4. Mashishanga
5. Mukama
6. Msekwa (sina hakika kama huyu bado yuko huko)
7. Wasira
8. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Athuman Mfutakamba
9.
10.
Wabunge:
1. Aeshi Hilali
2. Hamisi BAgaile Kingwangwala ( Not sure kama nimepatia surname)
3. Ester Bulaya.
4. Lusinde
5. Rage
6.
7.
8.
9.
Pumba bin Pumba.
Hao uliotajata ni viongozi wa chama au serikali.
Rudi shule ukafundishwa.
Unajua idadi ya viongozi wa CDM walio kule? taja pia kama hujamaliza list nzima ya viongozi wenu.
OTIS.
Wakuu inaonekana serikali karibu yote imehamia Igunga,I am about to write something kuhusiana na uchaguzi huu naomba mnisaidie kuijaza list hii:
Vigogo
1. Mwigulu Nchemba
2. Samuel Malecela
3. Philip Mangula
4. Mashishanga
5. Mukama
6. Msekwa (sina hakika kama huyu bado yuko huko)
7. Wasira
8. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Athuman Mfutakamba
9.
10.
Wabunge:
1. Aeshi Hilali
2. Hamisi BAgaile Kingwangwala ( Not sure kama nimepatia surname)
3. Ester Bulaya.
4. Lusinde
5. Rage
6.
7.
8.
9.
Wewe ndio unaongozwa na ideology, umeambiwa taja viongozi wa serikali walio kwenye hiyo list unakurupuka tu. Na mbona wewe hujaanzisha thread yako kujibu hoja ya Nyambala.Tatizo la kuongozwa na ideology, sasa viongozi wa serikali kwa nini wanaipigia kampenni CCM??????? Hiyo unayoita shule nadhani wewe ndiye unaiihitaji zaidi. Usivyo na aibu unauliza eti idadi ya viongozi wa CDM anzisha thread yako kuhusu hiyo bwahaha ahaha ahahah!!!!!!
Anza kutaja viongozi wa cdm amabo wapo igunga wamejaa mpaka wanalala kwenye mitaro.
Wakuu inaonekana serikali karibu yote imehamia Igunga,I am about to write something kuhusiana na uchaguzi huu naomba mnisaidie kuijaza list hii:
Vigogo
1. Mwigulu Nchemba
2. Samuel Malecela
3. Philip Mangula
4. Mashishanga
5. Mukama
6. Msekwa (sina hakika kama huyu bado yuko huko)
7. Wasira
8. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Athuman Mfutakamba
9.
10.
Wabunge:
1. Aeshi Hilali
2. Hamisi BAgaile Kingwangwala ( Not sure kama nimepatia surname)
3. Ester Bulaya.
4. Lusinde
5. Rage
6.
7.
8.
9.
Mawazo ya wanaCCM wengi kama wewe wanafikiri kuongoza chama ni kukaa ofisini Lumumba na kutoa maagizo.Nimetoka Kinondoni mchana wa leo, nimekuta ofisi ya CDM makao makuu, imefungwa kibao kimeandikwa, viongozi wakuu wote wako Igunga, ukitaka kuonana na viongozi wa kitaifa hadi kuanzia Octoba 5, 2011
Yaani JF siku hizi wachangiaji wengi hawako objective kabisa, swali ni rahisi tu na kama hufahamu ni kukaa kimya, lakini watu mishipa inawatoka utafikiri na mimi ni mgombea huko Igunga.
Wewe ndio unaongozwa na ideology, umeambiwa taja viongozi wa serikali walio kwenye hiyo list unakurupuka tu. Na mbona wewe hujaanzisha thread yako kujibu hoja ya Nyambala.