katika habari ya leo tarehe 17/09/2011itv imethibitisha kile ambacho gazeti la mwanahalisi iliandika kuwa kunabaadhi ya vyombo vya habari vimepokea mlungula toka ccm ili viweze kuisaidia chama hicho kushinda igunga,ikiripoti habari ya CDM kumdhalilisha DC huko igunga, imeripoti kuwa CDM imemdhalilisha DC huyokwa kumvua ushungi na kumpiga..imewahoji afisa mtendaji na watumishi wengine wakilielezea tukio hilo vibayaikawafuta nape na makamba ofisini wailaani CDM kwa udhalilishaji waliofanya Igunga na kutaka wanawake wawachukie CDMkinachonisikitisha ni kwamba ITV imetafuta habari ya upande mmoja tu yaani CCM bila kutaka kusikia kutoka CDM kwani nao wanayo ya kuongea..hii inanifanya niamini kuwa ITV inakamilisha malipo ya FEDHA walizopokea toka ccmNAWASILISHA