hahahahahahaha! majibu ya nape kama ya wale wachekeshaji wa FUTUHI! dah! Nyambala hela yako imebaki salama, nape hairambi ng'o, zaidi atasema hapelekwi igunga kwa hela za Nyambala, ndo utakuwa utetezi wake huu.[/QUOTE
Bado siku moja mkuu, ngoja tusubiri maana aliahidi bila kushurutishwa.
Mkuu nyambala angalia asije kukupiga chenga ya mwili akadai hakwenda makusudi ili pesa uliyotoa ikasaidie hizo charity org...si unawajua magamba.
Kwa hiyo basi kama nilivyoahidi na kumthibitisha kwamba nilikuwa na nipo serious na ahadi yangu namtumia invisible hela hiyo in few hours tyme. Ikiwa Nape hatakwenda basi tutaipeleka hiyo hela kwenye charity yeyote of our choosing!!!!!!!!!!!
Nyambala,Mkuu can we make this local pls? I mean just for this bet! Siku hazikwisha bado kuna kesho, Nape ni member humu nadhani hahitaji kusemewa bali he can come out himself as he has alwayz been!!!!!!!
Nyambala,
Chunguza posts za Nape zinavyopokelewa humu. Zilinganishe na zile za Dr Slaa au Zitto na mapokeo yake. Simsemei Nape na najua asingependa hata kukutana nami. Namfahamu kidogo sana kwa visiku hivi vichache alivyojitokeza kwenye siasa. Jina na haiba ya baba vimechangia kumtambua haraka ndani ya CCM. Tujaribu kumpa nafasi na heshima kidogo angalau. Ni nini cha mno IGUNGA? Ni lazima kila mtu aende?

CCM wamekwenda wengi mno Igunga. Kwa nini mnataka Nape aende ambaye mnajua kabisa ametusaidia kumwondoa RA kwenye nafasi hiyo? Mchango wake huo hamuuthamini? Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara naye sijamsikia huko. Mbona yeye hamuulizi?si kila mtu lazima aende Igunga, lakini sio kwa KAtibu mwenezi wa Chama (Ambaye ndio msemaji wa chama)
Hii ni picha dhairi kuwa bila ufahamu wowote NApe ameingizwa kwenye siasa uchwara za CCM bila yeye kujijua, siasa alizoambiwa hazihubiri hazifai Igunga na wala yeye hatakiwi Igiunga
kwa kifupi hawezi kwenda Igunga
Afisa wa juu wa chama cha siasa chenye serikali anafanya kazi hiyo kama hobby???
huyu jamaa hana akili kabisa.
Anafanya nini nje ya hiyo hobby ya ukatibu itikadi na uenezi??
Au kimjini mjini, halafu siasa za ccm ndo hobby??!!
Nyambala,
Chunguza posts za Nape zinavyopokelewa humu. Zilinganishe na zile za Dr Slaa au Zitto na mapokeo yake. Simsemei Nape na najua asingependa hata kukutana nami. Namfahamu kidogo sana kwa visiku hivi vichache alivyojitokeza kwenye siasa. Jina na haiba ya baba vimechangia kumtambua haraka ndani ya CCM. Tujaribu kumpa nafasi na heshima kidogo angalau. Ni nini cha mno IGUNGA? Ni lazima kila mtu aende?
Tunampa nafasi Nape atoe maoni yake kama tunavyofanya kwa viongozi wengine wa kisiasa walio ma-member humu kama Dr Slaa, Zitto, Mnyika,...., au ni kumshambulia kila anapoonyesha pua yake humu. Ninachokiamini kwa huyu kijana ni kuwa anapambana na mambo mazito sana ndani ya CCM. Kila akijaribu kutoka apate maoni na michango yenu mnamtoa mkuku humu. Mnamhesabia dhambi zooote za CCM hata zilizotendeka kabla hajazaliwa! Tutake tusitake CCM tunayo kwa kipindi kirefu tu kijacho hadi itakapopasuka na kumpata Sata wetu.
Walio karibu nae wanasema atakwenda siku ya kufunga kampeni. Mjue tu kwamba Igunga wanadhani yeye na Chiligati ndio waliomkamalia mbunge wao kipenzi RA. Busara za kawaida tu zinahitajika kuisoma hali hii. Naamini Nape hajabadili msimamo wake juu ya mafisadi kwa kuwa wao hawatamsamehe milele.
Kama tunaelewa hivyo, kumshinikiza aende mnatafuta cha kuandika humu akizomewa au kurushiwa mawe? Labda niulize kama alivyouliza Mwanakijiji. Mbona CHADEMA hawamtaji RA kuwa alikuwa fisadi na kwamba ufisadi wake ndio umesababisha kadhia yote hii ya uchaguzi mdogo? Au Dr Slaa anakuwa na nguvu hizo akiwa MwembeYanga tu?!Sio kwamba wanadhani, siku gamba kuu linajivua ubunge na uNEC lilibainisha waziwazi kwamba nape na chiligati ndio wamesababisha ajivue gamba kwa sababu ya gutter politics.
Hata kama nape hajabadili msimamo wake dhidi ya mafisadi bado atalazimika kukubali yaishe kwakuwa anaonekana vita anayoipigana hana support ya kutosha.
Sasa kama wewe umeachiwa urithi wa elimu, na unadai siasa unafanya kama hobby; dah unanichanganya...hiyo ni elimu gani ulorithishwa wewe ambayo inakuruhusu kufanya siasa za nchi kama hobby?
sasa naeza kuona kwa nini mtu alikuita "Nje Cup"
Kunwa wakati unaeleweka, kuna wakati ambao ninaamini hata wewe mwenyewe unakuwa hujielewi.Tunampa nafasi Nape atoe maoni yake kama tunavyofanya kwa viongozi wengine wa kisiasa walio ma-member humu kama Dr Slaa, Zitto, Mnyika,...., au ni kumshambulia kila anapoonyesha pua yake humu. Ninachokiamini kwa huyu kijana ni kuwa anapambana na mambo mazito sana ndani ya CCM. Kila akijaribu kutoka apate maoni na michango yenu mnamtoa mkuku humu. Mnamhesabia dhambi zooote za CCM hata zilizotendeka kabla hajazaliwa! Tutake tusitake CCM tunayo kwa kipindi kirefu tu kijacho hadi itakapopasuka na kumpata Sata wetu.