Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
Naikumbuka siku hiyo Bashite alipomtuhumu IGP Sirro kula rushwa, mbona alitulia kama maji ya mtungi. Leo anataka kupambana na Mh. Tundu Antiphas Lissu, mbona huku ni kutafuta sifa tu naye aonekane yumo? Anaweza akadhani anapambana na mtu moja lakini asisahau umati wa Watanzania walio nyuma ya Mh. Lissu.Pumba tupu. Ndio maana makonda alikutuhumu kula rushwa ya shisha maana alishakuona kamanda wa maneno mengi yasiyo msingi.