IGP Simon Sirro arejea toka Rwanda, ziara ya kikazi imegundua mengi kuhusu Tanzania

Wewe hujui ugaidi bado ... mwenye maana ya ugaidi ni malekani .. wengine mnafata mkumbo tu
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Janja ya nyani mkuu,ukiangalia SA hivi na mkuu mwenyewe Ni muislam inabd apige Kona ndeeefu.
Ila huu ugaidi wanao utaja utaja uta athiri hata uchumi na wana attract vitu ambavyo havikuwepo swala la mda tu.. tutaanza kaa wengine kona bar kwa mashaka mashaka
 
Nchi ina vituko sana ,badala angeenda, Marekani anaenda nchi takataka Kama Rwanda ,
 
Ugaidi huu msamiati unakuwa kwa kasi sana
 
Hopeless kabisa!

Anataka kujua mafunzo yanayotolewa na viongozi wa dini badala kwanza kutathimini mafunzo yanayotolewa kwa askari wake ambayo huwafanya askari kuonekana kama majambazi dhidi ya raia badala ya kuwa walinzi wa amani wa raia na mali zao!
 
Hakuna kitu kweli kuna kitu wanakipika.....ugaidi upo zaidi miaka 30 walikuwa wapi kubadilishana uzpefu majirani miaka yote wanafanya hivyo pia interpol ipo leo ndio aje story za kupika hizo.....hakuna kitu hapo siasa tu hizo
Usijifanye kila jambo unalijua kwa sababu unakasimu kako ka kupyatila halafu unakula ugali wa bure , acheni jeshi la Polisi lifanye kazi yake, usilolijua ni sawa na usiku wa giza .
 
Mimi nilichoona hapa IGP wa TZ amekwenda kuelekezwa na IGP wa Rwanda namna ya kukabiliana na ugaidi wa Nchi jirani yake ya Msumbiji. Akili nyingi inamuongoza akili ndogo.
Jashi la polisi na ulinzi wa mipaka ya nchi wapi na wapi? Jeshi la polisi kazi yake ni kuongoza magari barabarani (traffic police) kulinda mabenki, doria mtaani, kuzima moto incase of fire, kuzima fujo ndogondogo mtaani, kulinda wafungwa. Baas!
 
Amegundua mengi inamaana hayo yaliyogunduliwa hayakuwemo kwenye MOU?
 
Ugaidi ni neno pana . Ugaidi si sawa na uasi .. Twende kwenye chimbuko la neno Ugaidi kwanza ndio ujue kuna kitu kinalengwa au wanakitaka
Mama anahangaika kutangaza utalii lakini IGP anatangaza ugaidi, watawapata wapi watalii? Duniani kote wamejua Tanzania kuna magaidi Nchi si salama wageni watagoma kuja
 
Wananchi wanataka uhuru wa kuabudu wanataka uhuru wa kisiasa Polisiccm waache kukumbatia CCM kukandamiza demokrasia
 
Ila huu ugaidi wanao utaja utaja uta athiri hata uchumi na wana attract vitu ambavyo havikuwepo swala la mda tu.. tutaanza kaa wengine kona bar kwa mashaka mashaka
Tayari watalii wameanza kuogopa kuja Tanzania baada ya Polisiccm kuwatangazia kuwa kuna ugaidi mpigie simu seleman 0715132277 au 0787132277 seleman akupe picha zote za mambo ya ndani
 
Tayari watalii wameanza kuogopa kuja Tanzania baada ya Polisiccm kuwatangazia kuwa kuna ugaidi mpigie simu seleman 0715132277 au 0787132277 seleman akupe picha zote za mambo ya ndani
Mbona unanitafutia shida mkuu wangu, unaweza piga nikawa gaidi πŸ₯²πŸ₯²
 
Mama anahangaika kutangaza utalii lakini IGP anatangaza ugaidi, watawapata wapi watalii? Duniani kote wamejua Tanzania kuna magaidi Nchi si salama wageni watagoma kuja
Nimecheka sana, Huyu utalii na huyu ugaidi hawajui kwamba ugaidi ni Ant utalii acha wacheze ngoma waliyo weka wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…