idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Zile tochi ni miradi ya watu.Tafsiri ya haraka haraka ni kwamba kinachoitwa tochi za trafiki hakijasaidia sana kupunguza ajali za barabarani tofauti na lengo.
Zile tochi ni miradi ya watu.Tafsiri ya haraka haraka ni kwamba kinachoitwa tochi za trafiki hakijasaidia sana kupunguza ajali za barabarani tofauti na lengo.
Kama akipita hapaataelewa nini maana ya JF.mkuu wangu wa jeshi la polisi Tanzania,kinachosababisha matatizo yote haya ni mchanganyiko wa mambo mengi mno,usiangalie ulipodondokea angalia ulipojikwaa;sharia zetu nyingi ni kandamizi na nyingi tumezirithi kutoka kwa wakoloni ambao lengo lao lilikuwa kukandamiza umma ili iwe rahisi kwao kutawala;anzisha na boresha polisi jamii (hii itasaidia kujenga imani kwa jeshi letu la polisi,elewa mafanikio ya jeshi hili linategemea zaidi uhusiano wake na jamii);anzisha police special units within our police force,hivi vitakuwa rahisi kuvimudu na uendeshaji wake utaleta ufanisi kuliko sasa kuwa na jeshi kubwa lisilo na utaalamu wa kukabiliana na dunia ya sasa;traffic dept ivunjwe na badala yake serikali za mitaa ziendeshe idara hii(metro police) utoaji wa driving licences uwe chini ya idara hii na leseni zitolewe kwa kufuata afya,umudu wa mtu katika uendeshaji wa vitu vya moto(yaani zitolewe kwa kufuatwa kwa codes),driving licences zote ziwe ndani ya data systems inayoongea nchi nzima na anzisha demerit systems kwa madereva;barabara zetu ziboreshwe na alama za barabarani ziwekwe na ziwe rahisi kuonekana kwa watumiaji wote,jenga traffic cameras kwenye barabara zetu ili kudhibiti bad driving behaviours;visible policing ni muhimu kuliko police kujificha porini;achana na so called tochi hizi ni illegal money makings,nunua camera zinazozekodi kila kitu sio uchafu huu tuliokuwa nao.
mimi ninavyojua polisi wana cheo kimoja tu inspector.hata ktk movie za kibongo polisi yeyote ni inspector.hivi polisi akiwa na nyota tatu anaitwaje?
Ukiona hivyo yuko karibuni kustaafuRPC aliyekua mbeya ACP Musa Taibu ameenda kusoma magazeti makao makuu ya police Dar!
Hapo wamekata ulaji wote
Hivi Mohamed Mpinga aliondoka Mbeya ama yupo wapi?Kwa mujibu wa hotuba ya Rais pale jana, Mbona RTO wa Mbeya hajabadilishwa.....
Assistant Superintendent of Police (ASP). Yaani, Mrakibu Msaidizi wa Polisihivi polisi akiwa na nyota tatu anaitwaje?
Soma Uzi uuelewe aliyetolewa ni mnadhimu sio RPC
Assistant Superintendent of Police (ASP). Yaani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi
Hivi kwa nini wakitumbuliwa wanapelekwa makao makuu?RPC aliyekua mbeya ACP Musa Taibu ameenda kusoma magazeti makao makuu ya police Dar!
Hapo wamekata ulaji wote
Tafsiri ya haraka haraka ni kwamba kinachoitwa tochi za trafiki hakijasaidia sana kupunguza ajali za barabarani tofauti na lengo.
Wamekazania tuu tii sheria bila shuruti wakati dunia imebadilika sana... It's high time wawe na kitengo cha research kiwasaidie kupata key solution to key problems based on research siyo hizi bla bla.....Tafsiri ya haraka haraka ni kwamba kinachoitwa tochi za trafiki hakijasaidia sana kupunguza ajali za barabarani tofauti na lengo.
Ndie huyo RPC alie ondolewa mkoani Mbeya na kurudishwa makao makuu ya polisi DarHivi Mohamed Mpinga aliondoka Mbeya ama yupo wapi?
Mkuu siyo msanii kidogo ni msanii hasa.... Mwinjage kapata mwenzake....Binafsi naona haitasaidia chochote katika kuboresha jeshi letu la polisi maana LIMEOZA SANA.
Ngoja tuone Mh Lugola atafanya nini japo yeye nae ni msanii msaniii kidgo ila akiamua kwa dhati anaweza kuleta mabadiliko chanya !!!!!!!!!!!!
Nasema watapata taabu sanaMroto mbona ameachwa