salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Serikali ya aina hiyo haipatikani chini ya mbingu mimi nawashangaa sisiem kutumia rungu kuuwa inzi hakuna upinzani hapa wa kuleta serikali yenye uwezo nusu ya hii ya sasa pamoja na ubaya wk woteMkuu kwa hatua iliyofikia, ni wakati muafaka kabisa kwa wananchi sasa kusema tunataka serikali adilifu ambayo haitatumia vyombo vya usalama kuhujumu nchi bali wataviacha vyombo vya usalama visimamie maslahi ya Taifa, raia, na ustawi tena kwa kufanya kazi kwa uhuru na kuzingatia weledi.Zaidi ya hapo; nashindwa kupata picha halisi ya hatima ya nchi hii kwa jinsi mambo yanavyoenda.
Kwa mujibu wa kipindi cha magazeti cha channel 10 cha saa 2 asubuhi hii,kuna gazeti limeripoti kuwa IGP Mwema ameongezewa mkataba.Sijui ni kwa muda gani maana mtangazaji hakusema na wala sikumbuki ni gazeti ila hiyo ndio taarifa kwa ufupi kama ilivyosomwa.
MY TAKE:Hivi hakuna watu wengine?Haya si matumizi mabaya ya madaraka ya Raisi?
Sifa kubwa ya kuongezewa mkataba ni kwamba anaujasiri wa kuuwa.
kingine anafanya kazi kwa vimemo toka Lumumba.
pia ni kada mwaminifu wa CCM.!!
Hii nchi aliyeilaani amekufa!
Lazima aongezewe mkataba kauwa wananchi Mwanza,Arusha,Mbeya,Iringa,Mtwara,Songea,Shinyanga,Geita Igunga,Arumeru lazima apewe zawadi bwana ukiwa IGP unayebariki mauaji bila kukamata wauaji unaongezewa madaraka ataachishwa kazi mwezi mmoja kabla ya kikwete kuondoka na kupewa ubalozi ,halafu watanzania tupo tu tunakenue mtu mmoja anaendesha nchi kama yuko mfukoni mwake