Katika kile kilichodaiwa Rais kutaka baadhi viongozi wa Jeshi la Polisi kuendelea kuwa kazini mpaka 2015 amewapa mkataba wa miaka miwili Mkuu wa Jeshi hilo Said Ally Mwema, Seleman Kova, Michael Kamhanda ambao kisheria walipaswa kustaafu ifikapo Julai Mosi.
Iimekaaje hii!?
Ni kwa mujibu wa habari kutoka magazeti mbalimbali leo asubuhi.Inadaiwa kuwa Ikulu imemwongezea mkuu wa jeshi la police nchini IGP Said Mwema muda wa utumishi serikalini baada ya muda wake wa awali kumalizika.
My take; Inaonekana IGP amefanya kazi nzuri ya kuidhibiti CHADEMA katika harakati zake.
ni kwa mujibu wa habari kutoka magazeti mbalimbali leo asubuhi.inadaiwa kuwa ikulu imemwongezea mkuu wa jeshi la police nchini igp said mwema muda wa utumishi serikalini baada ya muda wake wa awali kumalizika.
My take; inaonekana igp amefanya kazi nzuri ya kuidhibiti chadema katika harakati zake.
Mkuu kwa hatua iliyofikia, ni wakati muafaka kabisa kwa wananchi sasa kusema tunataka serikali adilifu ambayo haitatumia vyombo vya usalama kuhujumu nchi bali wataviacha vyombo vya usalama visimamie maslahi ya Taifa, raia, na ustawi tena kwa kufanya kazi kwa uhuru na kuzingatia weledi.Zaidi ya hapo; nashindwa kupata picha halisi ya hatima ya nchi hii kwa jinsi mambo yanavyoenda.Sifa kubwa ya kuongezewa mkataba ni kwamba anaujasiri wa kuuwa.
kingine anafanya kazi kwa vimemo toka Lumumba.
pia ni kada mwaminifu wa ccm.!!
CCM hakuna kustaafu!!!vijana taifa la baadae sana
Nilijua tu, hadi kamuhanda?
My sentiments exactly. I shall keep coming back to this post hoping that habari hii itakanushwa😛ray:inadaiwa...!??