Nilikuwa napita maeneo ya Kilwa road,nikaona kundi kubwa la watu,nilipouliza nikaambiwa ni sherehe za kumuaga Alhaj Said Ally Mwema. Mliopo huko tupeni taarifa rasmi.
IGP huyu kweli alikuwa mwema,na aliechukua nafasi yake ndio mwema kwelikweli.
Mungu awape afya njema.
IGP huyu kweli alikuwa mwema,na aliechukua nafasi yake ndio mwema kwelikweli.
Mungu awape afya njema.