IGP Mangu kiboko ya CHADEMA

Leo assadsyria unasapoti UKAWA na unapigia chapuo ukuta,maslahi yako yametatanishwa ahhh?Wanasiasa wa TZ ni wanafiki kweli na kwa sababu mlishajua aina ya watu mnaowaongoza basi ndio mnajiachia weee
 
hii kitu mbona ipo duniani chief?

jana mtu alikuwa mchungaji tena mlokole, leo anakuwa sheikh. na kinyume chake of course.
 
Back
Top Bottom