IGP Mangu kiboko ya CHADEMA

IGP Mangu kiboko ya CHADEMA

Angejua kazi majambazi yangemshinda, kazi anayojua ni kutii maagizo ya mabwana zake tu kuwadhibiti watetezi wa wanyonge. Siku ipo na siku yaja ambayo wauaji wote kuanzia fastjet mpaka mangu watajibu.
Mkuu wasikupe shida hao vibaraka. Kama huyo Mangu na hao vijana wake wangekuwa na unavu kama wanavyojinadi wangeangua kilio kule Tarime baada ya kutembezewa kichapo na vijana wa Mwamunyange? Kama hujaipata hiyo story ni kuwa kama kawaida yao walimkamata mjeshi akiwa anaendesha pikipiki bila helmet na amevaa kiraia. Basi kama kawaida yao wakamsumbua wakitaka hela ya "mboga" Sii unajuwa wanavyoendekeza njaa? Mjeshi akagoma na ngumi zikaanza.
Basi bwana hao vijana wa Mangu sii wakaitana ili wamsulubu huyo mjeshi kama walivyowapiga wale wanawake walioandamana leo. Mjeshi akaona Polisi wamekuwa wengi na hawezi kuwamudu. Akaruka hewani kuwaita wenzake waje stand ya Tarime kuokoa jahazi. Kilichofuata hapo ni kuwa hao wanaosifiwa hapa walikula kichapo kama watoto wakaishia kuangua kilio hadharani mchana kweupe na wengine kupelekwa hospital kwa huduma ya kwanza.
Kwa hiyo hao wanaoitwa mashujaa kwa kupiga wanawake na raia wasio hata na manati kumbe si lolote wala chochote wanapokutana na wanaume wenzao wa kazi. Kumbe hata waandamanaji ni kwa vile wanaheshimu sheria tuu, lakini siku kikiwaka na kuamua jino kwa jino yatatokea yale ya Pemba ya kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
 
nafikiri sifa ya uyang'au inampendeza sana mama'yo maana amesababisha umezaliwa ukiwa na tabia chafu ya ushoga hadi hujui haki zako sababu ya kuwatumikia wezi na mafisadi. Wait time will tell.

ushoga wanautaka chadema, si ndio maliberali wanaofadhiliwa na balozi shoga wa ujerumani.
 
Jidanganyeni chdema dola kushika mtaisikia kwenye maandamano nani awsoe manyang;au nchi wananunuliwa na wajerumani kulivunja taifa fuuuumbafuu

Nanyi mshajiuza kwa mabasha kina obama. Mnatakiwa kukubali kuliwa ili mle. Japo mmepewa moyo kuwa sio kwa maana ile..!.
 
Haka kanchi bila ya kichapana kamwe hatutaheshimiana, askar anatoka kupiga rais huku tunaishi nao mtaan na sisi tunapiga mke waka au baba yake pumbafu kbs, labda wawe wanalinda na nyumba za mbavu za mbwa, maana askar wanaish maisha dun kwenye nyumba xa mbavu ya mbwa
 
Mkuu wasikupe shida hao vibaraka. Kama huyo Mangu na hao vijana wake wangekuwa na unavu kama wanavyojinadi wangeangua kilio kule Tarime baada ya kutembezewa kichapo na vijana wa Mwamunyange? Kama hujaipata hiyo story ni kuwa kama kawaida yao walimkamata mjeshi akiwa anaendesha pikipiki bila helmet na amevaa kiraia. Basi kama kawaida yao wakamsumbua wakitaka hela ya "mboga" Sii unajuwa wanavyoendekeza njaa? Mjeshi akagoma na ngumi zikaanza.
Basi bwana hao vijana wa Mangu sii wakaitana ili wamsulubu huyo mjeshi kama walivyowapiga wale wanawake walioandamana leo. Mjeshi akaona Polisi wamekuwa wengi na hawezi kuwamudu. Akaruka hewani kuwaita wenzake waje stand ya Tarime kuokoa jahazi. Kilichofuata hapo ni kuwa hao wanaosifiwa hapa walikula kichapo kama watoto wakaishia kuangua kilio hadharani mchana kweupe na wengine kupelekwa hospital kwa huduma ya kwanza.
Kwa hiyo hao wanaoitwa mashujaa kwa kupiga wanawake na raia wasio hata na manati kumbe si lolote wala chochote wanapokutana na wanaume wenzao wa kazi. Kumbe hata waandamanaji ni kwa vile wanaheshimu sheria tuu, lakini siku kikiwaka na kuamua jino kwa jino yatatokea yale ya Pemba ya kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

KUMBE kweli unashughulikiwa! Mwanzoni mi nilidhani wanakusingizia!
 
anza mjinjaa mamako mzazi na babako alafu watoto wako na mkee...nyambafuu wewe hata msemeje nchi haitawaliki inatawalika ...watanzania sio misukulee km chadema misukule ya mbowe ndiyo mbowe ndio mbowe.... watz hatutakuja chinjanaa milele na milele mwehuu wewe

Its very easy to fool a person than to let him know that he has been fooled.
 
Kwa taarifa yako unayemsifia anaitia petrol Tanzania, subiria kidogo tu tuanze kuchinjana sisi kwasisi, polisi watatuuwa kwa risasi lakini wao na watoto wao tunaishi nao mitaani mwetu na waanze kuhama maana kila mmoja kwa nafasi yake aanze kuchukuwa hatuwa kuangamiza polisi na familia zao tuone mwisho wake nani ataibuka mshindi polisi au raia. nawewe mleta uzi omba upate maisha marefu kidogo tu ushuhudie nakuonja machungu ya unachokisifia maana hufahamu unashabikia nini.

waache tu hawajui walitendalo samaki hao
 
Sipati picha Pinda anakuwa Rais na Magufuli anakuwa Waziri Mkuu na Mwakyembe anakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Sijui hawa machadema kama watapata ujasiri wa kuongea upuuzi wao wa kulazimisha maandamano. Yaanimile kutangaza tu kuwa wataandamana licha ya zuio la polisi tayari anakuwa amewekwa ndani

Makaburu wa Afrika ya kusini walipingwa kwa "UBAGUZI" wao waliouonyesha dhidi ya raia weusi na sio rangi zao ,wewe ni mmoja wao sababu una tabia zile zile na umejidhihirisha hapa jukwaani.
 
Wewe mpaka sasa upo chini ya ulinzi mkali una hatarisha usalama subiri ip address yako nirushe kwa watu wa cyber crime

cyber justice...ndo tunaita cku hizi. Mbona kura tumepiga hivyo tukiwa in da foreign land nazilaesabika aaah watanzania niwadogo saana
 
Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.

KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.

We mbupu, amani na utulivu havilindwi kwa style hiyo...mbinu hizo zimefeli huko kwingine.
 
Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.

KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.

Mnaoamini hivyo kwa Tanzania mko watatu tu. Ambao ni wewe, mumeo na baba ako.
Ova
 
Kila MTU anatoa maoni yake kutokana na anachokielewa. Binafsi by Professional Mangu anajua kazi kozi namfahamu kwa ukaribu, na ifahamike kwamba Amani ya nchi ya Tanzania inapaswa kulindwa kwa gharama yeyote ile, kwa sababu kuivunja Amani ni dk2 tu lakin kuijenga even 100yrs
 
Mangu hana professionalism kupeleka gari la washa washa wanawake

embu niamie ndio polisi alifundishwa kudhibii mwanamke namna hii
 
Mangu hana professionalism kupeleka gari la washa washa wanawake

embu niamie ndio polisi alifundishwa kudhibii mwanamke namna hii
hapa siyo Mangu, Maandamano yeyote yakiwa hayajafuata taratibu za sheria ya Jamhuri ya Muungano Wa Tz, Jamhuri ya Muungano wa Tz inawashtaki..hao kabla ya kufanywa hivyo ni lazima watangaziwe Mara 3 kabla ya kuguswa:Linatoka Tangazo kabisa Kwamba kulingana na sheria na katiba ya nchi hii mnaarifiwa mtawanyike kabla ya kutumia nguvu, ubishi unatufikisha hapa. Mangu sasa kiapo chake kinasema atakufa kwa ajili ya Amani ya nchi yake, so ni kweli polisi hawaruhusiwi kuwashambulia RAIA mpaka IGP aruhusu kama raia wamekaidi agizo la Jamhuri.
 
Mi-policcm inavyomlikwa na makamera hata isijielewe ni jambo la ajabu. Mdee kawafunga goli la kisigino....teteteteeee....mnajua haki za wanawake nyie? Subiri kesho vyombo vya magahribi viwaoneshe umahili wa kazi zao. Jambo dogo tu mnaingia wazimawazima......any way si ninyi.....niaina ya shule mloenda.
 
Back
Top Bottom