1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,290
Kwa taarifa yako unayemsifia anaitia petrol Tanzania, subiria kidogo tu tuanze kuchinjana sisi kwasisi, polisi watatuuwa kwa risasi lakini wao na watoto wao tunaishi nao mitaani mwetu na waanze kuhama maana kila mmoja kwa nafasi yake aanze kuchukuwa hatuwa kuangamiza polisi na familia zao tuone mwisho wake nani ataibuka mshindi polisi au raia. nawewe mleta uzi omba upate maisha marefu kidogo tu ushuhudie nakuonja machungu ya unachokisifia maana hufahamu unashabikia nini.
We kenge mama yangu anaingiaje humum acha kuliwa Buzz ya zamani jenga hoja pussi weeeee.nabado mlidekezwa na mwema sasa mtabeba chpi mikononi dadadadeki
Na kweli mkuu. Yaani kama Mbwa vile. Mradi akiambiwa shikaaa shikaaa aaaaaghhh!... Na hivi maaskari wenyewe bange na poda + viroba ndo kwao... Lazma agizo la pid litimilike.
Mkuu wasikupe shida hao vibaraka. Kama huyo Mangu na hao vijana wake wangekuwa na unavu kama wanavyojinadi wangeangua kilio kule Tarime baada ya kutembezewa kichapo na vijana wa Mwamunyange? Kama hujaipata hiyo story ni kuwa kama kawaida yao walimkamata mjeshi akiwa anaendesha pikipiki bila helmet na amevaa kiraia. Basi kama kawaida yao wakamsumbua wakitaka hela ya "mboga" Sii unajuwa wanavyoendekeza njaa? Mjeshi akagoma na ngumi zikaanza.
Basi bwana hao vijana wa Mangu sii wakaitana ili wamsulubu huyo mjeshi kama walivyowapiga wale wanawake walioandamana leo. Mjeshi akaona Polisi wamekuwa wengi na hawezi kuwamudu. Akaruka hewani kuwaita wenzake waje stand ya Tarime kuokoa jahazi. Kilichofuata hapo ni kuwa hao wanaosifiwa hapa walikula kichapo kama watoto wakaishia kuangua kilio hadharani mchana kweupe na wengine kupelekwa hospital kwa huduma ya kwanza.
Kwa hiyo hao wanaoitwa mashujaa kwa kupiga wanawake na raia wasio hata na manati kumbe si lolote wala chochote wanapokutana na wanaume wenzao wa kazi. Kumbe hata waandamanaji ni kwa vile wanaheshimu sheria tuu, lakini siku kikiwaka na kuamua jino kwa jino yatatokea yale ya Pemba ya kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Haka kanchi bila ya kichapana kamwe hatutaheshimiana, askar anatoka kupiga rais huku tunaishi nao mtaan na sisi tunapiga mke waka au baba yake pumbafu kbs, labda wawe wanalinda na nyumba za mbavu za mbwa, maana askar wanaish maisha dun kwenye nyumba xa mbavu ya mbwa
KUMBE kweli unashughulikiwa! Mwanzoni mi nilidhani wanakusingizia!
Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.
KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.
Kwa kweli wengi tunaichukia sana CCM na mfumo wake mchafu wa dola unaogandamiza wanyonge na kuwalinda wahalifu wakubwa.
Hata hivyo tujiulizi wako wapi wakombozi wa kuikomboa hii nchi dhidi ya huu udhalimu?
Iko wapi mipango na mikakati ya hao wakombozi wanaojiandaa kuitoa madarakani CCM na vibaraka wake?
Hivi Chadema haitaki kukubali tu kuwa UKAWA ndio suluhisho la kuunganisha nguvu za wapinzani kwani hakuna Chama chenye nguvu kama CCM kwa kila idara nchi nzima?
Hao wasomi wa CHADEMA wako wapi hawataki kuwaambia ukweli na kuwashauri vongozi wao kuwa Chadema kmeshuka umaarufu na UKAWA ndio ilianza kurejesha nguvu za wapinzani?
Kwa nini Chadema kinatumia katiba ya watanzania wote kujitafutia umaarufu wakati ni dhihiri kuwa UKAWA ndiyo ilipaswa iratibu na kusimamia maandamano haya.
Bila chadema kuungana na CUF ,hakitaweza kuingia madarakani milele.Wataendelea kuunda serikali kivuli na katiba kivuli.
CDM acheni uroho shirikianeni na vyama vingine kupambana na CCM