IGP Mangu hawa ndo 'askari' wako!!

IGP Mangu hawa ndo 'askari' wako!!

Ile sheria ya mitandao inakuhusu ww,, Askari anatakiwa awe msafi , sasa unataka aende masterparade akiwa amechafuka ndo utamuona mkakamavu?? Be authentic
 
Kuna UZI fulani nimesema kuwa hii picha nimeikuza usawa wa ya TV inch 24 nimeiweka ukutani ofisini kwangu!
attachment.php

Serikali imebebwa na mwananchi mlalahoi.Picha tafsida hii.Ujumbe mzito ndani yake.
 
Afande alipaswa kuvua viatu , kunja suruali na kuanza kusaidia watoto kwanza. Mbona namwona mwanamke anambeba mtoto na maji hayajafika goti
 
Hapo kosa la huyo askari liko wapi? Mda c mrefu akitaka kula pia mtasema tu. Hao pia n binadamu km sisi
 
Duuh! hii kali, lakin nao ni binadamu wa kawaida banah,, labda anahofia kiatu chake kitaoza kwenye maji,,,

Kwani anakesha humo ndani ya maji mpaka kiatu kioze.!? we sema hawa polisi wa sasa hivi laini sana wapowapo tu, na huyo jamaa utakuta katishiwa ndo akambeba..!!
 
Mbona kwenye daladala mnawabeba bure,wakati wana mishahara.
 
Kwani anakesha humo ndani ya maji mpaka kiatu kioze.!? we sema hawa polisi wa sasa hivi laini sana wapowapo tu, na huyo jamaa utakuta katishiwa ndo akambeba..!!

Binadamu kweli matata.Mnapenda Polisi wa Zamani ambao Bunduki ikiibiwa Mtaa mzima unahama kwa Hofu ya kipigo.
 
Kuna UZI fulani nimesema kuwa hii picha nimeikuza usawa wa ya TV inch 24 nimeiweka ukutani ofisini kwangu!
attachment.php

Tunamuomba member wa jf,ambaye ni police atwambie hilo ni ktk mafunzo gani
 
Binadamu kweli matata.Mnapenda Polisi wa Zamani ambao Bunduki ikiibiwa Mtaa mzima unahama kwa Hofu ya kipigo.

Raiya walitegemea afande avue buti na trouser abaki na kaptula achague wanafunzi wachekechea wawili waliokwama hapo awabebe avuke nao upande wa pili avae buti alafu aende zake kazini.
 
Raiya walitegemea afande avue buti na trouser abaki na kaptula achague wanafunzi wachekechea wawili waliokwama hapo awabebe avuke nao upande wa pili avae buti alafu aende zake kazini.

experience the difference!
 
Tunamuomba member wa jf,ambaye ni police atwambie hilo ni ktk mafunzo gani

Nina mshkaj wangu RPC kanda ya ziwa nimemtumia hii pic ktk whatsapp...kasikitika kasema JAMAA KATUAIBISHA SANA.
 
Aibu mwanaume kubebwa mgongoni na mwanaume mwenzako yani wanaume wa siku hizi wamekua nyororo na legelege mno ni aibu sana ndo mana wananyang'anywa silaha na vibaka shame.
 
Back
Top Bottom