the-sniper
Senior Member
- Oct 5, 2014
- 168
- 238
Nina mshkaj wangu RPC kanda ya ziwa nimemtumia hii pic ktk whatsapp...kasikitika kasema JAMAA KATUAIBISHA SANA.
Hahahaha! Kweli Jamiiforums haikeri hata cku moja.. Yani full burudani tuMijitu mingine bhana.., sasa we ulitaka aloweshe soksi zake?! kwani yuko vitani?! labda anaenda zake kujinunulia doghnut tu.., mwache na maisha yake bhana..
atakuwa sio mkakamavu au huenda alikuwa anategea mafunzo chuoni
Mimi sioni ubaya...hamjui hali yake kiafya ilikuwaje wakati yupo hapo...
Ni askari wa bongo?? Au wa kwenye movie za kihindi????
Hongera sana mkuu kwa ku act on time
ila kuna ma cartoonist sijui chama gani wanajaribu kuharibuu ona hapa....
hata majeshi ya wenzetu huwa askari ndio anatakiwa awe na utayari wa kuokoa pindi dharura inapotokea! Ila kubebwa mgongoni ka beiby! Hii sijawahi kuiona popote dunianiMijitu mingine bhana.., sasa we ulitaka aloweshe soksi zake?! kwani yuko vitani?! labda anaenda zake kujinunulia doghnut tu.., mwache na maisha yake bhana..