IGP Mangu hawa ndo 'askari' wako!!

IGP Mangu hawa ndo 'askari' wako!!

Hao askari sio wa Tanzania.
Hizo picha zimetengenezwa huko India.
 
Hapo sijaona kosa,ulitaka avue viatu na kupandisha suruali yake?huoni raha ya mgongo hapo?
 
Hivi hapa ni HAWA ASKARI WAKO AU HUYU ASKARI WAKO?????? mie namuona mmoja hapo…:sly::sly::sly::sly: 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Tazama vizuri mkuu, yupo askari mmoja tu hapo lakini kutokana na matukio ya hivi karibuni, hawa askari wa Mangu wanauwawa kirahisi rahisi, wananyag'anywa silaha kirahisi na wako nyoroyoro zaidi.
Halafu aliyebebwa hapo mtu mzima ni huyo askari , wengi neni wote watoto wa shule
Tazama vizuri picha.
 
We kubebwa ndo haki,polisi hana haki...,hivyo ni vitengo ttj kama vitengo vingine kwahiyo kubebwa na kuvushwa maji ni jambo la kawaida
 
Mkuu hiyo picha siyo tanzania,nidhamu ya tpdf ni mambo mengine kabisa,amini husiamini

Huyo mbishi tu...kamwe huwezi kukuta TPDF wamevaa open shoes na kombati,hiyo ni Al shabab hao ndio huvaa hivyo ImageUploadedByJamiiForums1431062944.034952.jpg ImageUploadedByJamiiForums1431062957.417749.jpg ImageUploadedByJamiiForums1431062973.785065.jpg

hawa ndio huvaa hivyo!!si jeshi letu la Tanzania,tutake radhi
 
"Hawa ndo askari wako" wako wangapi hapo....?? Hiyo nisawa nakuchukua matokeo ya necta ya mwanafunzi mmoja aliyepata zero nakupost "Tanzania yafeli" ili hali one za tatu zipo.
 
Back
Top Bottom