IGP Mangu hawa ndo 'askari' wako!!

IGP Mangu hawa ndo 'askari' wako!!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,568
Reaction score
28,530
image.jpg
Malamiko ya askari nyoronyoro sasa yamejitokeza kuliko wakati mwingine wowote.

Pichani tujionee wenyewe somo la ukakamavu kama linavyotolewa CCP Moshi!
 
Askali sharobalo.. Afu halipi huyo. Mbebaji anaogopa kubamkiwa kesi au kuuawa kabisa kwani watu hao
 
Mijitu mingine bhana.., sasa we ulitaka aloweshe soksi zake?! kwani yuko vitani?! labda anaenda zake kujinunulia doghnut tu.., mwache na maisha yake bhana..
 
Duuh! hii kali, lakin nao ni binadamu wa kawaida banah,, labda anahofia kiatu chake kitaoza kwenye maji,,,
 
Shenzi kabisa, yaani tunalipa kodi ya uniform afu tunazibeba wenyewe!
 
Ningekuwa mimi ndo mlimbeba ningemdondosha kwenye huko kwenye maji .
 
Kuna UZI fulani nimesema kuwa hii picha nimeikuza usawa wa ya TV inch 24 nimeiweka ukutani ofisini kwangu!
attachment.php
 
Back
Top Bottom