Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Hivi wanaona shida gani kusema ni al shababkumbe mauaji ya huko ni changa moto mpya ambayo haijawahi kutokea nchini?
basi lipo jambo maana hata yeye mwenyewe kakwepa kulizungumzia hadharani
Hivi wanaona shida gani kusema ni al shababkumbe mauaji ya huko ni changa moto mpya ambayo haijawahi kutokea nchini?
basi lipo jambo maana hata yeye mwenyewe kakwepa kulizungumzia hadharani
Hahahahahahaaaa hii inaitwa weka ugoko niweke jiwe weka kigingi niweke chuma...Hata hilo genge ukiliweka pasipostaili ni bora ukalala nyumbani maana hujui askari wa jiji wataamka vipi.
Hata hapo unapolala kama karibu na barabara TANROADS wanahusika
Hata huyu angekuwa hajuinfigisu za wana usalama angebwata na hakika wangemfananisha kama marehemu imrani kombe!Huyu ndo mzalendo sio wakina NAPE walibwata hadi mate kuwatoka
Kunyamaza kwa mdomo sio kunyamaza kwa rohoHuyu ndo mzalendo sio wakina NAPE walibwata hadi mate kuwatoka
mmeanza ujinga wenu wa kujifanya mna huruma ilihali nyie ndo mlikuwa wapiga kelele kuwa Mangu amepwaya, acheni wazandiki nyie!!Katika watu walioniuma kutumbuliwa ni huyu IGP Mangu.
Anyway huenda kuna jambo ameepushwa nalo bila mwenyewe kujua.
Jamani all is not fine with Mangu. Mkuu wa Utawala na Fedha Jeshi la Polisi amehusika na ufisadi wa kutisha huku Mangu akiangalia,tena wakiwa adjacent offices! Hivi kweli Mangu hakuweza kubaini kwamba Mhasibu wake mkuu ni mwizi?Very questionable.Katika watu walioniuma kutumbuliwa ni huyu IGP Mangu.
Anyway huenda kuna jambo ameepushwa nalo bila mwenyewe kujua.
Mkuu wa utawala na fedha ambaye alipiga Dili na Lugumi tayari alishatolewa na kuwa katibu tawala kule mwanzaJamani all is not fine with Mangu. Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi amehusika na ufisadi kutisha huku Mangu akiangalia.Kuna issue ya Lugumi,Mangu alikuwepo.Mbaya zaidi ni issue ya Mkuranga na Kibiti,mauaji yanafanyika huku jeshi la Polisi lipo!Kwa jinsi mambo yalivyo, they could be part of the problem.Maamuzi ya Rais ni sahihi kabisa, tena yamekuja kwa kuchelewa.
Atapewa ubunge wa kuteuliwa kisha atakuwa waziri wa mambo ya ndaniAtalipwa Mshahara upi baada ya kupokwa madaraka.
Huyu magufail anaweza kuwa anatutwisha mizigo ya kulipa mishahara double double kwa vyeo kivuli.
Mshauri mkuu wa Baba Jesca ni Daud Albert BashiteNasikia tu mshauri mkuu wa malaika mkuu ndo alishauri haya ya teuzi
Iliishatokea mtu akastaafishwa kabla ya muda wake kufika.HIVI HII INAWEZA KUTOKEA KWA CDF.?
ghafla tu unasikia katenguliwa