real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
IGP amewaambia waandishi wampe ushirikiano kama walivyokuwa wakimpa yeye ili afanye kazi kwa ufanisi
Alipoulizwa ni vitu gani vinatakiwa kuzingatiwa na Sirro kwa ajili ya usalama zaidi amesema Sirro anajua changamoto zilizopo kwa kuwa sio mgeni na alikuwa nafasi ya juu
Kuhusu mauaji ya Rufiji amesema hawezi kulizungumzia