IGP Mangu afunguka haya baada ya kuondolewa

IGP Mangu afunguka haya baada ya kuondolewa

SIONI KIPYA HAPA

KILARAHISI ANAKUJA NA MTUWAKE NAPALE ANAPOARIBU AMAKUTAKA KUBADILISHA ANAFNYA ATAKAVYO

MH MANGU ALIKUWA ENZI ZA JK NI SWALA LA KUSHUKURU MUNGU KUWEPO MPAKA MDA HUUNCHI ZINGINE AKIINGIA RAISI ANANZA NA TOPA YAKE MPYA TUPUNGUZE MANENO
kwa kawaida Tanzania huwa IGP anasubiriwa hadi mda wa kusitaafu haijawahi kutokea IGP anabadilishwa kabla ya mda wake wa kustaafu.
 
Mkuu wa utawala na fedha ambaye alipiga Dili na Lugumi tayari alishatolewa na kuwa katibu tawala kule mwanza
Ahsante kwa taarifa mkuu.Ila dah,unakamata na kushuhulikia majambazi ya nje nyumbani kwako unalala na majambazi!Ni vichekesho sana mkuu.Inaleta taswira mbaya sana.
 
Kabla hajatumbuliwa, alipoulizwa kuhusu mauaji ya Kibiti akasema ni uhalifu kama wa mashambulizi dhidi ya albino, mauaji ya vikongwe na uhalifu mwingine wowote ambao hatuusikii tena baada ya jeshi la polisi kung'amua mbinu zao na kuumaliza.

Halafu akamalizia hivi:

"Maana uhalifu nao ukiisha polisi hatutakuwa na kitu cha kufanya."

Sasa jamani mkuu wa polisi unatoa statement stupid kama hiyo utaacha kufukuzwa kazi?
 
Kule TAMISEMI nako wametumbua Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa idara mojawapo pale Tamisemi
 
Jamaa huwa hapangiwi na kama uyo CDF alimsindikiza kuchukua fomu sawa haitotokea
CDF na yeye hatavuka 2020 kwa sababu wanajeshi wanamlalamikia sana kaamua kuminya mikopo kwa dhana ya kubana matumizi huku akiwalazimisha kukaa kazini mpaka saa 12 jioni pasipo kulipwa over time, CDF wa sasa amewakera wanajeshi hakuna Mfano.
 
Ni vyema magufuli angefanya kama kenya na Uganda ambapo mkuu wa jeshi la polisi hutoka jeshini, afanye hivyo pindi mzee Siro akisitaafu mwakani.
 
Mangu msalimie Kova..nafikiri wale marafiki utaendelea kuwa nao wote..
 
CDF na yeye hatavuka 2020 kwa sababu wanajeshi wanamlalamikia sana kaamua kuminya mikopo kwa dhana ya kubana matumizi huku akiwalazimisha kukaa kazini mpaka saa 12 jioni pasipo kulipwa over time, CDF wa sasa amewakera wanajeshi hakuna Mfano.

CDF ana vyanzo vipi vya Mapato mpaka ahusike na utoaji Mikopo?
 
kumbe mauaji ya huko ni changa moto mpya ambayo haijawahi kutokea nchini?

basi lipo jambo maana hata yeye mwenyewe kakwepa kulizungumzia hadharani
Azungumze nini Mangu? Duniani kote kila Rais anayeingia madarakani huingia na safu yake mpya ya wana usalama. Nilipoona Sirro ameteuliwa kuwa Kamishna nilijua tu anasogezwa jirani na mkuu ili ajue kwa hakika majukumu ya mkuu ili pindi anapoteuliwa apige kazi bila woga Maana nafasi ya IGP haina probation.

Amejifunza ameweza amepewa kiti chake. Maneno mengi ya nini?
 
Back
Top Bottom