yaani mwenzenu nilifahamu huyu IGP amepiga marufuku magari kupitia hii barabara instead ameelekeza watumiaji wa hii barabara watumie alternative road, kumbe naye ameongeza uchuro, poleni sana ngoja niendelee kukaa hapa grocery akishapita nishtueni niaanze safari
Kuna foleni kubwa sana muda huu maeneo kuanzia Korogwe hadi Kimara. Askari wamezuia magari yanayotoka mjini kisa IGP yuko njiani kutoka Morogoro. Sasa jamani naomba maoni yenu maana gharama inayopotelea barabarani kwa ajili ya kutaka ukubwa imezidi. Wanajamvi kazi kwenu