IFM: All the best in Exams,BUT... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IFM: All the best in Exams,BUT...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bakulutu, Jan 29, 2012.

 1. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Nawatakia wanafunzi wenzangu wa IFM ,maandalizi,na mafanikio mema ktk mithahan inayoanza kesho j3.

  Cha muhimu ni kukomaa na ulicho nacho kichwani,other materials ni hatari saaaaana kama mnavyo jua IFM ilivyo, haisubiri hata jua likazama cku hiyohiyo una ambiwa kwaheri.
  Mungu atusaidie.
   
Loading...