Ifikie Wazazi

Ifikie Wazazi

Rafiki yangu alikwenda kumchukua mtoto shule alimkuta amepaka make up! Alimwambia ninakupa sadika 10 utoe huo uchafu usoni ndiyo uingie kwenye gari yangu.
 
Picha zaidi kutoka kwa hashtag Ifikie Wazazi.
Ifikie-wazazi-Kenya-on-mzurii-7-1.jpg
One-of-the-photos-that-was-shared-on-social-media-with-teens-posing-for-controversial-photos.jpg
Nashindwa kufikiria kilichojiri hizi picha zilipofikia wazazi wao.
 
Wakerekezi? Hilo labda kwa M7 ama Kagame. Wainaina sio jina la kike. Ungeuliza maana ya majina hayo ungeyapenda. Umesahau na Nyambura, Njeri, Wanjugu, Wamuyu, Wanja, Wanjiku, Wangui na Wairimu. Hiyo U huwa inatamkwa kama O, yaani Wamboi, Wamoyo. Alafu hamna haja ya kuyafupisha, yote kitamaduni huwa yanakuja na A.K.A zao. Wanjiku inakuwa Shiko, Wanjiru-Shiro, Wangui-Kui, Wairimu-Mimmo/Nimo, Wambui-Bobo n.k nk. Majina matamu kweli kweli! Cc. Sky Eclat
yaan hapo ndipo nachoka kwelikweli na majina ya akinadada Wa kenya
 
yaan hapo ndipo nachoka kwelikweli na majina ya akinadada Wa kenya
Hayo ndio majina ya kina dada wa kule maeneo ya mlima Kenya. Pia kuna kina Atieno, Akoth, Cheptai, Naliakaa, Namunyak, kutoka sehemu zingine. Napenda majina kama hayo, ambayo yana maana flani nyuma yake. Kama Nyambura na Akoth walizaliwa wakati wa mvua, Nyawira naye ni msichana mchapa kazi, Wanjugu naye alizaliwa wakati wa msimu wa mbaazi. Yaani majina halisi ya kiafrika. Sio akina Jane John. 😀
 
Mwanauani,mwanamkasi,mwadiwani,mwanaamiri ni majina ya kidigo,haya unayakuta pale tanga mjini kwa wadigo asilia.mpaka kule zingibari njia ya kwenda mombasa mpaka mombasa yenyewe.
 
Jeiefu hoyeeeee! Party ya kurejea kwa jf ipo wapi buana. Nialikeni wakuu!
 
Mwanauani,mwanamkasi,mwadiwani,mwanaamiri ni majina ya kidigo,haya unayakuta pale tanga mjini kwa wadigo asilia.mpaka kule zingibari njia ya kwenda mombasa mpaka mombasa yenyewe.
Kweli kabisa sikuwa nimesikia hilo la Mwanauani. Kuna mbunge kule Mombasa anaitwa Khatib Mwashetani. Hahaha. 😀
 
Back
Top Bottom