Ifikie Wazazi

Ifikie Wazazi

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,352
Baadhi ya picha kutoka kwa photoshoot za matineja wa Nairobi 'Naii' zilizosababisha wakenya kuibuka na hashtag maarufu, Ifikie Wazazi. Ili kuwafahamisha kuhusu tabia za watoto wao, ambao ni wanafunzi eti. Vijana wa siku hizi buana!
DahTdu0UQAAN0Wu-696x695.jpg
idijaie.jpg
Ifikie-wazazi-Kenya-on-mzurii.jpg
28433702_2040346709546152_3716196813364002816_n.jpg
 
Tatzo la wakenya utakuta mwanamke mzur lakn jina lake sasa...
Mara wanjiru, wambui, wainaina, wakarekezi.. Yaan linapoteza hadi hamu.
 
Tatzo la wakenya utakuta mwanamke mzur lakn jina lake sasa...
Mara wanjiru, wambui, wainaina, wakarekezi.. Yaan linapoteza hadi hamu.
Wakerekezi? Hilo labda kwa M7 ama Kagame. Wainaina sio jina la kike. Ungeuliza maana ya majina hayo ungeyapenda. Umesahau na Nyambura, Njeri, Wanjugu, Wamuyu, Wanja, Wanjiku, Wangui na Wairimu. Hiyo U huwa inatamkwa kama O, yaani Wamboi, Wamoyo. Alafu hamna haja ya kuyafupisha, yote kitamaduni huwa yanakuja na A.K.A zao. Wanjiku inakuwa Shiko, Wanjiru-Shiro, Wangui-Kui, Wairimu-Mimmo/Nimo, Wambui-Bobo n.k nk. Majina matamu kweli kweli! Cc. Sky Eclat
 
Back
Top Bottom