Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,429
- 191,661
Sasa shida ni njaa ndio inawapelekea hadi mnalia uongo kwenye kwichili kwichili. šDah afadhali umeelewa ninachomaanisha...Kikubwa tuingie kwenye.mahusiano na watu tuwapendao pasi na shaka itatuondolea kero ndogondogo
Mtu hampendi ila anatamani awe anapandishwa kwenye Toyota Crown na kujipostisha insta. 𤣠Apelekwe Elements kila weekend ili ajiselfie anavunja maisha ila deepdown hamkubali kabisa mwamba kihisia.