Kama unahisi una mapungufu ya nguvu za kiume oa bikra

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu wakuu.

Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na Mwanamke analalamika kuhusu bwana wake kushindwa kumridhisha. Kiukweli mapenzi ni suala nyeti sana ambalo lina mambo mengi sana kiasi kwamba kama unahisi hauliwezi ni vyema ukakaa nalo mbali kuepusha aibu.

Huyo Dada kaandika hivi ;

"Ila wanaume wa skuhizi bwana , kanihangaikia karibia mwezi mzima, this weekend nikalionea huruma nikalipa, likaishia kupiga kimoja chali. Mpaka ikabid niondoke zangu home nikaisugue tu mwenyewe njikojoze.

"Sahizi linantext et "Ulienjoy" kha! Seriously! Kutiana penyewe hata halijui, kupandishana minyege tu. "


Mwanamke wa sampuli hiyo hapo juu ni ngumu kutulia kwenye ndoa endapo kama atakutana na mwanaume wa sampuli hiyo aliyoilalamikia.

Huyo mwanamke mpaka kusema "kutiana penyewe hata halijui, kupandishana minyege tu," basi tambua kuwa kashawahi kushughulikiwa na mtu mwengine ndio maana akaweza kulinganisha performance ya huyo jamaa wa kimoja na mtu mwengine.

Ushauri wangu kwa wanaume; ni vyema mkaoa wanawake waliojitunza kwani hakuna wanalolijua kama wanawake ambao hawakujitunza.

NB: Mwanaume fanya mazoezi, na kula vizuri kuimarisha nguvu zako.

IG - Mjanja_m1
X - Mjanja_m1
 
Shida siku hizi wanawake wanahadithiana na kutiana ujinga ata ukioa bikra hali ni ile ile akikutana na mashoga zak ambao wanapelekewa moto vzr watamjaza maneno t na kumpa ushaur wa hovyo
Mkuu.

Mwanamke aliejitunza na mwenye Maadili ni ngumu kuwa na Marafiki wahuni na wasiokuwa na staha.

Hao wanao hadithiana ya vyumbani hawana Maadili.
 
Mkuu.

Mwanamke aliejitunza na mwenye Maadili ni ngumu kuwa na Marafiki wahuni na wasiokuwa na staha.

Hao wanao hadithiana ya vyumbani hawana Maadili.
Usilolijua ni kwamba mwanamke akishaolewa kuongelea suala la tendo la ndoa inakua sio uhuni.

Unakuta mtu anaongelea suala la tendo la ndoa na mama yake mazazi achilia mbal hao mashoga.
 
Pole sana bloangu,fanya sana mazoezi,acha kujichua,acha kuangalia porns,zingatia balanced diets,utakaa poa tu
Ama kweli Akili ni MAARIFA na sio kila mtu anayo hayo MAARIFA.

Kama Kichwa chako hakisomi na kuelewa ni vyema ukapita kushoto.
 
Usilolijua ni kwamba mwanamke akishaolewa kuongelea suala la tendo la ndoa inakua sio uhuni.

Unakuta mtu anaongelea suala la tendo la ndoa na mama yake mazazi achilia mbal hao mashoga.
Sio kweli.

Hakuna mtu mwenye utimamu wa akili akaongelea kukojozwa na mume wake kwa marafiki zake.
 
Back
Top Bottom