PETER NYAMWERO
Member
- Oct 9, 2010
- 54
- 6
Kutokana na suala la mgao wa umeme, tanesco na mawaziri wamekuwa wakisema utaisha mwezi wa kumi na mbili, nawashauri watanzania wenzangu ili kuonyesha hii serikali tumechoka na ahadi horera na wasizokuwa na uhakika nazo. mgao ukiwa haujaisha watanzania tugome na kuandamana kuonyesha kuwa mgao unaturudisha nyuma kimaendeleo na kiutendaji kazi kwa vyombo na ofisi zinazotumia umeme muda mwingi. Naomba kuwasilisha mungu ibariki tanzania, mungu wabariki waiombea mema nchi hii kwa vitendo siyo maneno.