Ifikapo january 2012 tuigome na kuandamana kuhusu mgao na tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ifikapo january 2012 tuigome na kuandamana kuhusu mgao na tanesco

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PETER NYAMWERO, Sep 26, 2011.

 1. P

  PETER NYAMWERO Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na suala la mgao wa umeme, tanesco na mawaziri wamekuwa wakisema utaisha mwezi wa kumi na mbili, nawashauri watanzania wenzangu ili kuonyesha hii serikali tumechoka na ahadi horera na wasizokuwa na uhakika nazo. mgao ukiwa haujaisha watanzania tugome na kuandamana kuonyesha kuwa mgao unaturudisha nyuma kimaendeleo na kiutendaji kazi kwa vyombo na ofisi zinazotumia umeme muda mwingi. Naomba kuwasilisha mungu ibariki tanzania, mungu wabariki waiombea mema nchi hii kwa vitendo siyo maneno.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nadhani utaandamana wewe na familia yako. Magwanda wenzako siku hizi wamechoka kutumikishwa kwa maandamano kisha picha zao kupelekwa Ujerumani kuombea misaada.
   
 3. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ur so pathetic gu-ay! We unaona sawa kwa watu kuendelea kuishi ktk dimbwi la mgao? Unajua ni biashara ngapi zimekufa, watu wangapi wamekosa kazi, uchumi umedorora kwa kiasi gani na maisha yamepanda kwa kiasi gani mpaka uamue kumkebehi m2 alietoa dukuduku lake kuhusu huo umeme? Au kwa vile unaishi kifisadi haujui kutoil? Mungu akuangamize wewe na hao wote unaowatumikia, wasiokuwa na uchungu na watanzania. Ufe kifo cha ghafla sheitwan khum....! Huwa unakera kweli ila ukiendeleza bezo zako KWELI UTAKUFA GHAFLA!
   
Loading...