IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

Waambie jamaa waandae orodha nyingine ya timu zenye makombe ili Simba SC isiwemo.
 
Takwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Ubora wa aliyepigwa goli 7 juzi Uingereza ni sawa na anayeshika mkia ligi kuu na hajawahi fungwa 7!?
 
Timu zote lazima zipitie hali hiyo, ukiwa na timu nzuri kuna kipindi timu yako naishiwa makali kutokana na wachezaji kuzeeka au wachezaji wapya unaosajili kushindwa kuziba nafasi zilizoachwa wazi na wachezaji wa zamani.
Hawa wajinga hawakosekani kokote kule wapo. Wanasahau Liverpool hii ya sasa sio ile ya mwaka juzi. Wanasahau Barcelona alivyo_struggle hapa kati.
 
Ni kweli, but usipumbazike na takwimu, timu yetu inacheza mpira mbovu sana, nimewaona Mamelod jana, mh, tema mate chini
 
kwa hio list timu ya simba imepanda au imeshuka?
 
umeisahau Petro Luanda
 
Simba haipo hapo kwa bahati imepambana sana kufika hapo ila kuna vibwengo watukuja kubeza..
 
VP jirani yuko kwenye 30 bora?
 
...wana ugiligili vichwani mwao,...[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…