Ifanye laini yako ya tigo kuwa ya chuo (bando za chuo)

Check
img1547369186080.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya laini yako iwe ya chuo Kwa bei cheeee kabisa . Ni tigo pekee tu
Call me 0714248444 au nitumie sms
Malipo ni bahada ya laini yako kuwezeshwa.
Unaweza uka ni pm au comment namba yako .
Malipo ni Tsh2000/= pesa ya kitanzania

NEW UPDATE 13/01/2019 TIME 11:12
KUTOKANA NA BAHAZI YENU KANITAPELI BAHADA YA HUDUMA SASA NI PESA KWANZA.

NEW UPDATE 14/01/2019 TIME 17:02
WALIO NITAPELI ADI SASA
EMMANUEL MADETE MWENYE NAMBA 0674460827 YEYE KANIWEKA BLACK LIST

MOSSESS LAIZER MWENYE NO 0653184937 UYU JAMAA KANITAPELI PIA YEYE BAHADA YA KUNGANISHWA AKADAI AJAPATA OFA

HUMPHREY SWAI MWENYE NAMBA 0655404226.

PIA WW MDADA MWEMBIE NDUGU YAKO SIJAPATA PESA KUPITIA KWA WAKALA NI LIPE KABLA SIJA ATTACHED ID YAKO

bahazi wanakosa ungwana .mtu nakunganisha .unadai ujapata . wengine munanitumia namba za Bibi zenu waliopo ikwilili. Mtu nakunganisha unadai kunilipa Adi kesho .mwengine ampokei simu.

IKIFIKA SAA KUMI NITOA LIST ZA NAMA WALIO NITAPELI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubariki we mkaka umeniunganisha no zangu zote mbili

Mnaodaiwa mumlipe huyu mkaka sio vizuri jamani hela yenyewe ndogo hivi hata baraka mtakosa kumdhurumu mkaka wa watu
 
We nae mwanaume una wivuuu kama ndugu wa mume ebu muache mwenzio na wewe angalia ya kwako au weka tangazo na wewe tutakuungisha
Mkuu mbona vitu vipo wazi!.
Serikali ipo,viongozi wapo. Kama umeona umezurumiwa kwanini hukuwashitaki ama kwenda ngazi za juu?? Vyombo husika vya kutetea masilahi ya wafanyakazi(freelancer) vipo .

Nishakuambia mpaka sasa taarifa zako zipo wazi..
Nikuulize tu kijana;
Sio ww ulitishia kuchoma magari ya kampuni yako moto? Sio ww ulileta vurugu kwenye kikao ofisini kwako(morning meeting) na kuanza kuhamasisha uwapige mabosi zako?. Sio ww ulitishia kuwachoma wakubwa zako na bisibisi?
Sio ww ulitukana wakuu wako wa kazi na kuwatishia maisha na ukawaambia utawafanyizia mtaani?

Ama unataka niseme nn kuaminisha uma hiki unacholalamika huku kuwa ni cha upotoshaji?

Mabosi zako walikukalia kimya na kusema wakusamehe tu kwa sababu kijana unatafuta maisha,lkn videos na matukio niliyoyataja hapo juu ninazo na sikuwa nayajua haya kabla. Ila kupitia huku jf,nimetumiwa video zako.

Narudia tena! Sikutishi,ila nakuelekeza tu. Maana ww ni kijana na unatafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona natukanwa hv!!! Wahusika mpo wapi?
Naamini Jf ni sehem ya mtu kutoa maoni na kuchanguia kwa uhuru na uwazi,iweje ww unitukane na kunizalilisha kiasi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom