Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Mnafurahia ufedhuli wenu?Nendeni kwa Robert Amsterdam
Mungu Mwenye enzi hayupo pamoja na waovu hata kama mnaungwa mkono na viongozi wachumia tumbo wa dini!
Mnafurahia ufedhuli wenu?Nendeni kwa Robert Amsterdam
Mungu anatenda haki kwa wote...Mungu hayuko upande wenu tu...uovu ni tafsiri yako wewe...Mungu anajua ni Nani anatenda maovu...Mungu anajua ni Nani aliyetenda maovu kwa kuwaua vijana wawili kule Njombe na Tunduma...Mungu anajua ni Nani anatenda maovu hata kuchoma kijana kisu kule ifakara na mapanga kule Pemba...Mungu anajua ni Nani wanaoandaa mipango ya kujariibu kuharibu uchaguzi Tanzania...lakini tunawakikishia uchaguzi utafanyika na huyo Lissu atashindwa vibaya..mnaandaa mipango na mbinu za kishetani kupora ushindi...mnatisha watu...mnaua...mnajiandaa kulala barabarani..huo wote ni uovu na mbinu za kishetani...na huyo sijui Amsterdam naye atashughulikiwa kwenye hizo hizo mahakama za kimataifa kwa kuchochea uasi Tanzania...Amsterdam siyo yeye peke yake anayejua sheria..Naye atashitakiwa kwa kuleta vurugu na kuchochea mauaji Tanzania...mashtaka yanaandaliwa dhidi yake...Lissu Yuko na Amsterdam kwenye kampeni hayuko na Chadema...kamati kuu ya Chadema itamtosa....Huyo Lissu ni mwovu na ni mwongo mkubwa...anatoa taarifa za uongo kwamba eti Magufuli amekutana na wakurugenzi wa Halmashauri ...ni uovu..huyo Amsterdam hazungumzii uovu wa Lissu...wafuasi wa Lissu wanapiga mawe magari ya polisi ili polisi wachukue hatua na wao wapige picha za video eti polisi wanatupa mabomu...watanzania kwa mamilioni wanaomfuatilia huyo Amsterdam wanamjua kuwa ni beberu tu anayeandaa njama za kuisambaratisha Tanzania..Amsterdam atashughulikiwa naye kwenye mahakama hizo hizo..Mnafurahia ufedhuli wenu?
Mungu Mwenye enzi hayupo pamoja na waovu hata kama mnaungwa mkono na viongozi wachumia tumbo wa dini!
Na hiyo dislike uliyoniwekea ni uovu mwingine..Mnafurahia ufedhuli wenu?
Mungu Mwenye enzi hayupo pamoja na waovu hata kama mnaungwa mkono na viongozi wachumia tumbo wa dini!
Anamletea mdomo MTU anaeitwa mbishi kufa.Ukute jamaa alifika hapo a wanapofanyia kazi mdomo ukawa mrefu maana anavyoonekana anaongea sana,
Huyo jamaa alie mchoma kisu amefanya vyema kabisa wala simlaumu.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app