johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,037
- 1,251
1. Haigharamii elimu ya waandishi wengi wa habari, lakini inawatoza Tsh.50000 kila mmoja.
2. Haijali wana ajira au hawana,lakini inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja.
3. Haijui wanalipwa kiasi gani, wana mikataba au wanayo, inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja.
4. Una tuma maombi online na kulipa ada ya Tsh 50000, lakini wakikuthibitisha utaelezwa kirahisi fika ofisini uchukue kitambulisho chako, kana kwamba waandishi wote wanaishi Dar. Ninafahamu kuna vituo vya radio kasulu, muleba,Tarime nk. Gharama za safari analipa nani?
5. Haifanyi jitihada kusaidia waandishi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu wa kupata taarifa, lakini unailipa Tsh. 50000.
Nk, Nk.....
6. Kisha unatangaziwa kuwa "hadi sasa zaidi ya waandishi 3,250 wamepata ithibati". Hizi ni sawa na zaidi ya Tsh. Milioni 160, kutoka kwa waandishi kwenda serikali ya ithibati.
Hata hivyo iko sawa, kwani imefanikiwa kutengeneza watu wa aina inayoweza kuwatumia ipasavyo