Kumbuka kuwa yeye ameteuliwa kuwa mwenyekiti tu na kwamba kuna makamishna wenye sifa za kutosha wa kumsaidia. Wanaopinga ni wale wasomi uchwara ambao hata wao wenyewe hawajiwezi.
Ufafanuzi wako umeeleweka sana kaka bt, mrema kama angekuwa mpinzani asingempigi rais Magufuli kampeni.
Sipondi utendaje wa rais, la hasha! Ila hafanyi kazi na wapinzani.
Kipo mkuu sema hadi wewe ndg yako hadi apate hiyo Parole atakuwa ametaabika sana Labda iwe miongoni mwa Familia ya watawala kama YONA ..na MRAMBA hata robo ya kifungo hawajamaliza wanaambiwa wakaokote Plasta hospital